Mrejesho: Mke mwenye wivu, nawashukuru wana JF kwa msaada wenu

Ila mdogo wang ukweli ni huu mwanamke wa hvyo si mara ya kwanza mpka kaamua kuumpa jirani yako kwanza nenda kapime halafu unapofanya maamuzi usiangalie cha mtoto wala familia yake angalia kilicho sahihi kwako maana mwanamke akitoa uchi kwa mtu ambaye hampi chochote bs jua kapenda kwa dhat na mpaka kampa papa sasa mwanamke anachwa bila kumuone huruma kwa mambo haya1•mwanamke mzinifu 2•mwanake mshirikina 3•mwanamke asiye jali umuhimu wako mfanO hajali ndugu zako , unampa pesa anachezea tyuu.me nakuambia ACHANA NA HUYO MWANAMKE na kama usipoa achana naye nakutabiria utapata mathara makubwa zaidi ya hayo na usubiri kufa ukiwa na kilo mbili• ukimwi si mzur kijana na kama si ukimwii bs subr kufa kwa ajir ya waganga•kwan wakat wa anagawa huyo papa alikua hajui kama kuna mtoto tumia akili mdogo wangu. Huyo kathamiria kuachana na ww sema ww ndo unalazimisha tyuu
 
Samehe msonge mbele

Mradi aahidi kutorudia

Ndoa sio lelemama

Wengine watakushauri umuache mkeo wakati wao wanafumania live live na hawaachi
 
Usimuache mkeo/mumeo isipokua kwa uzinzi.
Mimi ni mwanamke lakini nakwambia ikifikia hatua mwanamke kakuchiti jua amekuchoka hadi mwisho...sisi huwa tunapenda ndo tunagawa mbunye nyinyi wenzetu huwa mnatamani tu na kusuuza rungu,huwa hampendi pengine kwa dhati kama ilivyo sisi,hakunaga bahati mbaya kwa mke wa mtu kugawa mapenzi jua kapenda
Trust me unaishi na nyoka
Arabiotoo mamalai?
 
Samehe msonge mbele

Mradi aahidi kutorudia

Ndoa sio lelemama

Wengine watakushauri umuache mkeo wakati wao wanafumania live live na hawaachi
Yani mtu acheat alafu asamehewe¿????? We unaweza kumsamehe mume mchepukaji????
 
Yaani bado tu unamwangalia

Mkeo akikusaliti maana yake amekuambia Huna Jipya
 
Aiseee ila kwa ujasiri alionao mkeo inaonekana kuna vitu umekuwa ukivifanya au tabia fulani ambayo haimpendezi kabisa sasa amechoka though amefanya kosa kweli Kwan sio suluhisho yeye Kuchepuka

Kwa upande wako pia ujiassess pia muulize naamini kwa alivyochoka atakuambia ukweli wap unakosea
 
Nisaidieni maana mpaka sasa sjajua cha kufanya nmeondoka nyumbani kuja ofsin lkn sijisikii vzr kabisa nimemtumia sms nisimkute hom akasema anamsubiri mtoto atoke shule ili andoke naye na anajua mi ninavyompenda watoto wangu nimemwambia aondoke na mdogo nibaki na mkubwa anasema hawezi kuhacha mtoto labda afe
Mwache aondoke yani kakucheat na haonyeshu kujutia, hata kuomba msamaha sa kinafiki huyo hakupendi.
Yani hakupendi kabisa mkuu fukuza ukimuacha aendelee kukaa atakuua na kukuua
 
Ndugu zangu naomba nilete mrejesho wa ushauri wenu,

Ni majuzi nilifungu uzi hapa, unaosema hivi Mke mwenye wivu uliopitiliza nilipitia kila coment ya mtu wengi walinambia huyo atakua anakusaliti hivyo anajikinga.

Mimi ni muoga sana sipendagi kumfatilia hata simu yake sitakagi kushika, nilimwambia mke wangu nimeulizia kwa watalaamu wa mahusiano wameniambia wewe utakua ndo mchepukaji.

Alistuka sana mpaka nikahisi kuna kitu, juzi tumezinguana kidogo, zimepita siku tatu maelewano hakuna kabisa mpaka leo asubuhi nimeamka nikashika simu yake sikuamini macho yangu, nimekuta SMS anachat na jamaa ambaye ni mpangaji mwenzetu sehemu nilipomfungulia ofisi kwakweli nimeumia sana nilichofanya ni kumnyang'anya funguo za ofisi kuna mdogo wangu ndo kaenda kufungua, mimi mwenyewe nimeshindwa kufanya kazi nimerudi nyumbani tupo tunaangaliana tu sina cha kumfanya.

Naombeni ushauri mwingine
Muombe tigo
 
Jaribu kujitathimini wapi uliwahi kumkosea kwa kiwango cha juu kabisaa. Na hukukiri na kumwomba sorry ...kama haikuwa tabia yake baada ya kuoana.
 
Umejaribu kumuhoji maswalii???? Km inaezekana kumtimua ni vzr ukamtimua tu maana mwanamke mpk aamue kucheat bc ujue una tatzo kubwaa
 
Nisaidieni maana mpaka sasa sjajua cha kufanya nmeondoka nyumbani kuja ofsin lkn sijisikii vzr kabisa nimemtumia sms nisimkute hom akasema anamsubiri mtoto atoke shule ili andoke naye na anajua mi ninavyompenda watoto wangu nimemwambia aondoke na mdogo nibaki na mkubwa anasema hawezi kuhacha mtoto labda afe
Kama amesema hivyo, mwache aende anakokwenda . kama ni hasira tu mtayamaliza tu mbele ya safari lakini kama anaondoka kwa sababu ya huyo jamaa mwingine hawawezi kudumu kabisaaa na atakukumbuka na nina hakika hakuna mwanamke anaeondolewa kwenye ndoa yake na mwanaune mwingine halafu akaolewa nae.
Wanawake wana tamaa ya hela ndefu nilijibana asikae nyumbani nikamfungulia duka la ml 3 uyu jamaa ana maduka ya jumla hapa jiran
 
Kuchapiwa mke ni noma sana, bora demu.

Mkuu kimbia achana na huyo mwanamke, utakufa kwa kihoro.!
 
Ndugu zangu naomba nilete mrejesho wa ushauri wenu,

Ni majuzi nilifungu uzi hapa, unaosema hivi Mke mwenye wivu uliopitiliza nilipitia kila coment ya mtu wengi walinambia huyo atakua anakusaliti hivyo anajikinga.

Mimi ni muoga sana sipendagi kumfatilia hata simu yake sitakagi kushika, nilimwambia mke wangu nimeulizia kwa watalaamu wa mahusiano wameniambia wewe utakua ndo mchepukaji.

Alistuka sana mpaka nikahisi kuna kitu, juzi tumezinguana kidogo, zimepita siku tatu maelewano hakuna kabisa mpaka leo asubuhi nimeamka nikashika simu yake sikuamini macho yangu, nimekuta SMS anachat na jamaa ambaye ni mpangaji mwenzetu sehemu nilipomfungulia ofisi kwakweli nimeumia sana nilichofanya ni kumnyang'anya funguo za ofisi kuna mdogo wangu ndo kaenda kufungua, mimi mwenyewe nimeshindwa kufanya kazi nimerudi nyumbani tupo tunaangaliana tu sina cha kumfanya.

Naombeni ushauri mwingine
fukuza fukuzaaa hyo ameshakuwa kirusi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom