Tomas Ulimwengu aondoka Sweden na kutua Genk, aanza kujifua

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
ulimwengu.jpg

Mshambuliaji Mtanzania, Thomas Ulimwengu ameondoka katika klabu yake ya AFC ya nchini Sweden na kwenda Ubelgiji ambako sasa anafanya mazoezi na kikosi cha KRC Genk.
KRC Genk ndiyo klabu anayoichezea Mtanzania mwingine Mbwana Samatta.

Ulimwengu ambaye ni majeruhi wa goti, ameamua kufanya mazoezi huku akipata matibabu chini ya wataalamu wa klabu ya Genk ambao sasa wanafanya kazi ya kumtibu Samatta ambaye siku chache zilizopita amefanyiwa upasuaji.
 
Hawa madogo wote washaumia magoti, hakuna mpira hapo ulaya, wasubiri mkataba kuvunjwa warudi ligi zao jangwani.
Wamuulize Credo Mwaipopo

Mafanikio yako kwenye maisha yako hayaletwi kwa kuwachukia waliofanikiwa bali kwa kujifunza kwa waliofanikiwa.....

Matatizo yako kwenye maisha yako hayasababishwi na waliokuzidi mafanikio bali mtazamo wako dhidi ya waliofanikiwa.....

WABARIKI WENGINE ILI NA WEWE UBARIKIWE

KUNA WATU WALIVUNJIKA KABISA MIGUU NA WAKAPONA NA WAKAENDELEA NA SOKA NA WENGINE WALIKARIBIA KUFA UWANJANI.....

Matatizo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu lakini kuyafurahia matatizo ya mwanadamu mwenzako ni zaidi ya ushetani........

MUOMBEE KHERI MWENZAKO ILI KHERI ZIJE KWAKO PIA.......

ec767a5d6bc5b8b8e7a1f009da874e9b.jpg
 
Hujanielewa mkuu, nashindwa kuelewa ktk muda mfupi wote wameumia, hii inapunguza perfomance yao uwanjani.
Nawatakia kheri ila kuanza kukaa benchi kwa kuumia goti ni km dereva asiyeona.
So wangejitahidi kucheza mpira wakijilinda zaidi sehemu hizo.
 
Mafanikio yako kwenye maisha yako hayaletwi kwa kuwachukia waliofanikiwa bali kwa kujifunza kwa waliofanikiwa.....

Matatizo yako kwenye maisha yako hayasababishwi na waliokuzidi mafanikio bali mtazamo wako dhidi ya waliofanikiwa.....

WABARIKI WENGINE ILI NA WEWE UBARIKIWE

KUNA WATU WALIVUNJIKA KABISA MIGUU NA WAKAPONA NA WAKAENDELEA NA SOKA NA WENGINE WALIKARIBIA KUFA UWANJANI.....

Matatizo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu lakini kuyafurahia matatizo ya mwanadamu mwenzako ni zaidi ya ushetani........

MUOMBEE KHERI MWENZAKO ILI KHERI ZIJE KWAKO PIA.......

ec767a5d6bc5b8b8e7a1f009da874e9b.jpg
Mzee mwenzangu hukupepesa macho (vidole ) ila ndio zao tulilonalo la kuchukia wengine unakuta mtu anamchukia mtu ukimuuliza "hivi kwanini unamchukia yule ndugu? jibu lake "aaah sina sababu ya msingi lakini simpendi tu "unabaki mdomo wazi.
 
Hawa madogo wote washaumia magoti, hakuna mpira hapo ulaya, wasubiri mkataba kuvunjwa warudi ligi zao jangwani.
Wamuulize Credo Mwaipopo

Cazorla kanyofolewa nyama kwenye mkono na kuwekwa kwenye ankle yake na bado anacheza, Zlatan na Rojo wameumia goti siku chache zijazo wanarudi uwanjani. Matibabu ya wenzetu ni tofauti na sisi.
 
JamAa naona anpenda kutembelea nyota ya samatta nafikirbkama samata asingekuepo katika maisha ya tom saiv hata mazembe asingeijua na nathani angekua kagera sukar saiv
 
Cazorla kanyofolewa nyama kwenye mkono na kuwekwa kwenye ankle yake na bado anacheza, Zlatan na Rojo wameumia goti siku chache zijazo wanarudi uwanjani. Matibabu ya wenzetu ni tofauti na sisi.
Utafananisha matibabu ya Zlatan na Samatta?
Zlatan mpaka sasa yuko benchi licha ya kupona.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom