Recent content by kingsize25

  1. kingsize25

    Uchawi wa 4WD ni nini hasa?

    Sema option zote zilizopo kwenye hiyo gari ili kama hujui tukupe madini zaidi
  2. kingsize25

    Ongeza ufanisi wa engine yako ya 1Hz ktk landcruiser 70 series kwa kuweka turbo na intercooler

    [emoji23][emoji23] hii mada kwa mwandiko niliyeuona, alieileta sio mwenye kuifanya kazi hii, Huu mwandiko sio wa dogo Luck Siyame, angekua ni yeye angeweza kujitetea vizuri, huyu ni chawa mmoja yuko kwenye group la Team Cruiser na hamna kitu anajua. Asamehewe[emoji38]
  3. kingsize25

    1JZ/2JZ haiwezi kupambana na Wajerumani

    Nafurahia umeelewa nilichokua namaanisha, power+ reliability, amazing 2jz which can tripple bhp from the stock one..... Send it!!!
  4. kingsize25

    1JZ/2JZ haiwezi kupambana na Wajerumani

    Cha Kufurahisha sasa most bimmer kwa vichaa wa magari zimefungwa 2JZ, toyota wenyewe wakiangaliaga walichofanya kwenye 2jz-GTE na 3s-GTE wanatabasamu, level za jz ni Nissan huko wakina RB
  5. kingsize25

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    77729D7 nimepewa sehemu wazee weka mzigo mzuri tupasue wote
  6. kingsize25

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Haina noma mzee ndo wamechochea mbio sasa kazi inaanza rasmi mm mwendo wangu utakua kutambaa na codes tuu na kupangua
  7. kingsize25

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimeanza kubet leo kwa codes za humu, hakyamungu nimepigwa na kitu kizito treni tano zote zimepoteza njia!
  8. kingsize25

    Toshiba sattelite OS solution

    Mimi sio fundi ila nna wasiwasi na uwezo wa mashine na hizo program unazotumia, kama zimeizidi mashine yani which inapelekea mashine kuchemka sana na kuua vitu.
  9. kingsize25

    Msaada wa matengenezo wa komputa

    Kanunue battery ya CMOS imeisha, kuna batter kama ya saa ya mkononi ila yenyewe ni nyembamba halafu pana, inakaa kwenye Motherboard!
  10. kingsize25

    Kuhusu Mgahawa wa Rayvanny, ni wake au anapiga promo?

    We ni hater plus chawa and you don’t know shit, ukute hata huyo Kelvin hakujui.
  11. kingsize25

    Wenye damu group O ni kweli Corona haiwasumbui?

    Nimepata jibu kwanini mimi na acid ni marafiki asee, shukrani, hii kitu inanitesa sana
  12. kingsize25

    Nakiri Ole Sabaya kunishinda ujanja na kuweza kunidanganya. Nilimuona mzalendo kweli kweli

    Ungekua aware na ile inshu yake ya kujifanya mtu wa system wala usingepata shida hizi, wakati Cuthbert analalamika kuhusu Sabaya kuna watu walitia pamba masikioni ila kama umekaa kaskazini kidogo ungeweza kuelewa.
  13. kingsize25

    Nissan 2021 Vs Toyota 2021 Jamaa wamefikia Tamati katika Ubunifu

    Hapo labda Toyota 300 series wamegandamizia kutoka kwa Nissan, maana wenzao tangu pathfinder walishaanza kutoa box body.
  14. kingsize25

    T mobile Samsung galax s9 inasumbua.

    Au anaogopa kuna bloatware zitakuja halafu simu iwe na network lock, unatokeaga huo ujinga kama simu ulinunua refurbished, siku ukirudisha stock rom ndo unafurahi
  15. kingsize25

    T mobile Samsung galax s9 inasumbua.

    Kama umeona nimeweka range ya 30-50k Aggrey ni connection mzee, kama hauna mtu unajuana nae vizuri hasa mafundi kitu ya 60k utauziwa laki na utanunua na bado utahisi bei ni nzuri, mafundi wengi waganga njaa na ndo wapigaji vibaya mno. Mimi kabla sijaenda napiga simu moja kuuliza nnachokitaka na...
Back
Top Bottom