Toshiba sattelite OS solution

Toshiba sattelite OS solution

Joined
Feb 11, 2020
Posts
22
Reaction score
22
Wakuu habarini za muda. Pc yangu ina shida naombeni msaada.

Ni brand ya Toshiba satellite nilipewa na sstr tangu 2015 ambapo kabla ya hapo alikuwa anaitumia akiwa masomoni. Ilianza kuleta changamoto ya kuua hdd tangu 2018, mpaka sasa nimeshabadili HDD kama 5 hivi.

Yaani naweza kuwa nafanya kazi baada ya mda kidogo nasikia inalia( ta ta ta ta kwny hdd) na baadae inazma kabisa nikiiwasha inastuk kwny jina TOSHIBA na haiendelei mbele sijajua tatizo nini.

Nilipokuwa napeleka kwa fundi jamaa alikuwa anasema window imecorrupt... wengine wanasema mashine ndio inayoua hdd so, mpaka sasa sijajua ttz ni nini.

Mwaka huu mwezi wa 3 nikaenda kununua hdd mpaya 1TB aina ya seagate wiki tatu baadae ikazingua nikapeleka kwa fundi kaipima na kugundua hata ile partition iliyowekwa window nayo imekufa... plz msaada jamani.

Au pc ndio ishachoka?

Program ninazotumia ni hz za surveys kama AUTOCAD, QGIS, ArcGIS , Archicad nk
 
Mkuu pole sana, hizo hdd ulizokuwa unatoa ulikuwa una test kuthibitisha kama kweli zimeharibika? Pia hakuna maandishi mengine yakitokea wakati wa kuwasha ,?
 
HDD 2 nilizobaki nazo moja ndio jamaa alinionyesha kwny program yake kwamba haina tena uwezo wa kubena windo hvyo labada niitumie kama external tu, na hii ya juzi TB 1 nayo pia niliinunulia external case baada ya window kucorrupt.

Hakuna maneno mengine zaidi ya kustuck kwny jina TOSHIBA.

Pia nakumbuka kuna siku nilijaribu kuweka HDD iliyokufa zamani sana ikatokea statement hii [ No bootable device] na mengine siyakumbuki
 
Mimi sio fundi ila nna wasiwasi na uwezo wa mashine na hizo program unazotumia, kama zimeizidi mashine yani which inapelekea mashine kuchemka sana na kuua vitu.
 
HDD 2 nilizobaki nazo moja ndio jamaa alinionyesha kwny program yake kwamba haina tena uwezo wa kubena windo hvyo labada niitumie kama external tu, na hii ya juzi TB 1 nayo pia niliinunulia external case baada ya window kucorrupt...
Mkuu jaribu kuangalia RAM, bios, powersupply na graphuc card( kwa upande wa hardware ) test hizo kama zinafanya kazi vizuri.

Halafu kwa software (bios setting) jaribu kufanya bootloader?

Run(kimbiza) command zifuatazo baada ya hapo kisha piga windows tena.

"bootrec /fixmbr
bootrec /fixboot
bootrec /rebuildbcd"

Navyo jua harddisk ikiwa na uwezo wa kugumika kama external pia itakuwa na uwezo wa kutumika kwa kuwekea windows,unapoweka hdd angalia kama imeunganika vizuri na connector kisha test kama imeunganika kabla ya kuweka windows.

Tafuta fundi mzuri kwa electronic(ambaye anauwezo mzuri katika kutroubleshouting IC) na mzuri wa software
 
HDD 2 nilizobaki nazo moja ndio jamaa alinionyesha kwny program yake kwamba haina tena uwezo wa kubena windo hvyo labada niitumie kama external tu, na hii ya juzi TB 1 nayo pia niliinunulia external case baada ya window kucorrupt.

Hakuna maneno mengine zaidi ya kustuck kwny jina TOSHIBA.

Pia nakumbuka kuna siku nilijaribu kuweka HDD iliyokufa zamani sana ikatokea statement hii [ No bootable device] na mengine siyakumbuki
Download program inaitwa crystal disk info, hii program Itakuonesha sector za hdd zipi zimekufa na zipi zipo hai, utajua afya kama imeanza kuharibika, ama imeharibika ama ni nzima.

Kuanzia hapa tutajua kama hizo hdd zinakufa kweli ama kuna jambo jengine.
 
Wakuu habarini za muda. Pc yangu ina shida naombeni msaada.

Ni brand ya Toshiba satellite nilipewa na sstr tangu 2015 ambapo kabla ya hapo alikuwa anaitumia akiwa masomoni. Ilianza kuleta changamoto ya kuua hdd tangu 2018, mpaka sasa nimeshabadili HDD kama 5 hivi.

Yaani naweza kuwa nafanya kazi baada ya mda kidogo nasikia inalia( ta ta ta ta kwny hdd) na baadae inazma kabisa nikiiwasha inastuk kwny jina TOSHIBA na haiendelei mbele sijajua tatizo nini.

Nilipokuwa napeleka kwa fundi jamaa alikuwa anasema window imecorrupt... wengine wanasema mashine ndio inayoua hdd so, mpaka sasa sijajua ttz ni nini.

Mwaka huu mwezi wa 3 nikaenda kununua hdd mpaya 1TB aina ya seagate wiki tatu baadae ikazingua nikapeleka kwa fundi kaipima na kugundua hata ile partition iliyowekwa window nayo imekufa... plz msaada jamani.

Au pc ndio ishachoka?

Program ninazotumia ni hz za surveys kama AUTOCAD, QGIS, ArcGIS , Archicad nk
Kinachoharibu hdd hasa ni mshtuko na joto, hakikisha hdd unaifunga vizuri isicheze.

Pia kama walivyosema wengine pima health na performance ya hizo disk.

Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom