KndNo1
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 627
- 2,025
Habari zenu wadau..
Toyota fans mara nyingi tukiongelea gari moto za kijerumani kama Bimmer huwa wanarukia kwenye hizo engine kuwa ni mwisho wa matatizo.. Wazungu kuwa wamenyoosha mikono kwa hizo engine.. Hii imekuwa myth.. Leo naiburst hii myth..
JZ hizi engines zilikuja kureplace flagship ya Toyota ya wakati huo ambayo ilikuwa ni M series. Output ya most powerful JZ ni 320hp hiyo ni 2JZ GTE ilifungwa kwenye Aristo V300 na Supra RZ.. Hapo ni mwaka 1991. Sasa Bimmer walishakuwa na engine moto zaidi S38B38 kabla ya huo mwaka.. Hii inafungwa kwenye E34 M5.
Sasa Toyota Fans muelewe kuwa JZ ipo vizuri kwenye power ila sio most powerful engine.. Sifa ya JZ ni internals zake zilikuwa heavily forged kwahiyo zinaweza accommodate boost kubwa bila kucompromise durability yake. Kwahiyo ni cheap engine kama unataka power kubwa 1000hp.. Zipo nyingi engine cheap kupata power kubwa (LS, Ford Bara4. 0 ila JZ ndio maarufu)
JZ ni best kwa tuning ila stock JZ ni ya kawaida.
Muache mambo ya ohhh JZ ndio kila kitu mkiona tunapost chuma kama Audi RS2.. Bimmer E34 /E39 M5.. Mercedes 500E.. Hizo moto kitambo zikiwa stock.