hakuna sehemu ya kijinga kama kkoo,mnaipa vyeo tu,kuna ubabaishaji sana.
ukienda unauza kioo spare wanalia hazinunuliki,nenda ukatafute wewe kioo sasa utashangaa bei zao.
mwaka juzi nimeenda na jamaa yangu na samsung note edge,ilikuwa inasumbua sakiti yake,tukauliza tukaambiwa ni 125k mpya,au 70 used,tukaagiza iletwe,dogo yule alizurula kama mbwa akaja kuleta zile story zenu za kuna mzigo mpya unaingia kesho wa mhindi[emoji16][emoji16].tukamwambia kausha dogo achana nayo,acha tuuze kioo.happ ujue tuliishaulizia wakatwambia kioo cha note edge ni 180.
kwenda kwa mnunuaji,kwanza ni mmoja mdada hivi.
tukamueleza nia yetu,akatwambai atupe 30k[emoji28][emoji28],daah.
nikamwambia mwana tukiweke mtandaoni tu namba atakayekitaka atatitafita,siku tatu mbele tukapigiwa na mpemba tukakiuza kwa 180 ile ile.
kwahiyo story za sakiti ya s9 kuuzwa 30k mzee baba,si tu unamtafutia ndugu yetu uhasama bali na matatizo pia.