Recent content by KingRay

  1. KingRay

    JamiiForums Tanzania Urgent- Area sales executive (2 positions)

    THIS IS A CUSTOMER & CONSUMER-FACING JOB, AREA SALES EXECUTIVE (2 POSITIONS) THIS IS A CUSTOMER & CONSUMER FACING JOB, APPLY ONLY IF YOU ARE INTERSTED FOR ACTION IN THE MARKET. We are a leading company in Tanzania manufacturing drinking water, tea & coffee. As part of our sales requirement...
  2. KingRay

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta Production Supervisor - Beverage Industry

    Habari, tunatafuta Production Supervisor very urgent. Awe na uzoefu wa kusimamia Kiwanda cha Vinywaji kama Maji etc ... Elimu : angalau BA in Food Processing/ Chemical/ or even electro Engineering Uzoefu: angalau si chini ya miaka mitano kwenye viwanda vya maji au soda/Juice Tuma CV...
  3. KingRay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama kuna Mpemba humu...!!Acheni Ubaguzi Shenzi Nyie

    Nilipofika kwenye maandishi .....7b ukimaanisha sababu basi nikaacha kuendelea kusoma nikijua napoteza muda. Uandishi wako ni picha tosha ya taswira ya ulivo mkuu.
  4. KingRay

    JamiiForums Tanzania Hivi zaidi ya kambi ya jeshi Mafinga kuna kitu gani kingine?

    Kweli umeongeza Uzi tuu sijaona lengo hasa la mada yako
  5. KingRay

    JamiiForums Tanzania Stephen Masele anapaswa kuwa Spika wa bunge letu 2020

    Sure Mkuu wanataka watu ka kina Kibajaji
  6. KingRay

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amuombea msamaha RC Makonda Askofu Shoo amuita madhabahuni asamehewe

    Asee nilimuona anavokataa pale nimeogopa mpaka nikataka kuzima TV dah majizo kamshauri ndio kasimama. Kijana nimeamini ni jeuri hatari dah
  7. KingRay

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tumsamehe Makonda kwa kauli za kibaguzi kuhusu Wachaga

    Very true asee Kiburi kina mwisho
  8. KingRay

    JamiiForums Tanzania Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshi

    Huyu kijana ni wakuombewa kwakweli. Mungu amsaidie sana
  9. KingRay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina PHD nimechukulia Paris Naombeni ushauri niowe mke wa level gani ili tusisuembuane?

    Bahati mbaya sana PhD na kuoa havihusiani kabisa na havitakuja kaa viwe variables kwenye ndoa. Tafuta Mke mwema anae kufaa bila kuangalia wewe una PhD au una sifa ipi.
  10. KingRay

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta fundi nzuri wa magari: Canter, Tata na Eicher

    Tunatafuta fundi mzuri na mzoefu wa magari tajwa hapo juu kama upo please nicheki PM Ni kwenye Kampuni na ataajiriwa kabisa kulingana na vigezo vyake. Ahsante sana
  11. KingRay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujadili: Kwanini wake za watu ni warahisi sana siku hizi??

    Mtenda hutendwa itafika muda tena wewe hutaamini. Jidanganye na vinguvu vya konyagi saiz ukiingia ndo utajua
  12. KingRay

    JamiiForums Tanzania Zitto: Tunapoteza $600 milioni za korosho kwa kukurupuka, nchi zinazozalisha kama sisi zinaanza kuvuna January. Hizi zetu labda tuzikaange tule

    Mara serikali inunue na akapongeza leo kageuka anyway all in all maamuzi ya sasa ni ya ajabu ajabu kama wanasiasa
  13. KingRay

    JamiiForums Tanzania Nabii Frola bado unaendelea kuwatapeli watu? Sitasahau 1-Aug-2014 ulivyotaka kunitapeli mchana kweupe

    hahaha nae si alitaka kumtapeli nabii feki
  14. KingRay

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Rais Hana Mamlaka Kuwatumia Jeshi kufanya lolote atakalo bali Kulinda nchi kwenye vita na kuokoa maisha na mali ya watu

    Kwanza mkuu sheria pia imesema au mambo mengine ambayo ataana yanahitajika......
Back
Top Bottom