Tunatafuta fundi mzuri na mzoefu wa magari tajwa hapo juu kama upo please nicheki PM Ni kwenye Kampuni na ataajiriwa kabisa kulingana na vigezo vyake. Ahsante sana