Recent content by kingfisher93

  1. kingfisher93

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amekata tamaa ya kutafuta kazi

    kumbe hata wenye master hawana kazi
  2. kingfisher93

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya kompyuta

    naomba nije mimi hapo mikese mi nipo moro mjini nitumie namba zako
  3. kingfisher93

    JamiiForums Tanzania Herufi tatu (3) tu!

    ccm,cuf,act
  4. kingfisher93

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki baada ya uhakiki watumishi hewa amesema litafata zoezi la kubadili muundo wa utumishi

    yeye nani atamhakiki matumizi ya mshahara wake?
  5. kingfisher93

    JamiiForums Tanzania Hiki ndio kipindi kibaya kuwa kwenye ajira kuliko vyote

    kipindi kibaya bado mmeng'ang'ania humo si muache tuingie na wengine
  6. kingfisher93

    JamiiForums Tanzania Scorpion anayetoboa watu Macho Buguruni, akamatwa

    hata hapo mahakamani hapajakaa sawa naona
  7. kingfisher93

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kutembea na malove bite ni sifa au??

    kwa njaa hii nilidhani hayo malovebite unanywea chai nilitaka nikayanunue.,ahsante mdau mmoja aliyeweka picha hapo juu
  8. kingfisher93

    JamiiForums Tanzania MSAADA:Nimeamua rasmi kuingia katika kilimo na ufugaji

    ukihitaji mfanyakazi tafadhali tuwasiliane
  9. kingfisher93

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari!!

    Mimi ni kijana wa kiume mchapakazi. Naamini jukwaa hili kuna watu wana/wamiliki wa project za kilimo na ufugaji na naweza kupata msaada. Nahitaji kazi katika maeneo tajwa hapo juu kama 'unskilled labour' japokuwa naweza kukupa ushauri mdogo katika mifugo na kilimo kutokana na elimu na uzoefu...
  10. kingfisher93

    JamiiForums Tanzania Tatizo nini msaada jamani

    Nimemaliza chuo mwaka 2015 degree course wildlife mgt. Bahati mbaya sijafanikiwa kujiajiri/kuajiriwa.Nimeapply sana kwenye ma college ya tourism na wildlife_hakuna kitu.sambaza cv NGOs na mashirika yanayohusu wildlife_hakuna kitu. Nimeapply sana kazi za zoom tz, ajira zetu_hakuna kitu.Nikaomba...
  11. kingfisher93

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanitafutia kazi sasa nimekuwa mtumwa wa ngono

    ngoja tuendelee kuwepo kuwepo kwanza
  12. kingfisher93

    JamiiForums Tanzania Natafuta Tuition Morogoro

    Mteule open school
  13. kingfisher93

    JamiiForums Tanzania Biomedical engineering tupeane michongo

    'To find job' hebu rekebisha kwanza hapa
  14. kingfisher93

    JamiiForums Tanzania Hivi watanzania mnataka kiongozi anayejua kiingereza fasaha au mnataka kiongozi bora?

    Wa hivi hawezi kuwa raisi labda laisi
  15. kingfisher93

    JamiiForums Tanzania Hivi watanzania mnataka kiongozi anayejua kiingereza fasaha au mnataka kiongozi bora?

    Kiongozi anayetoa ajira.
Back
Top Bottom