Natafuta kazi, nina elimu ya kompyuta

Natafuta kazi, nina elimu ya kompyuta

Polee na kazi ndg zangu jamani natafuta kazi yoyote niko morogoro naomba mnisaidie elimu yangu kidato cha nne na ninauwezo wa IT namba ya simu 0769322746 nitashukuru saaaana asanteni
 
Dah! MUNGU akupe hitaji lako,ntakuombea
 
Njoo hapa Dakawa tulime, tatizo la vijana wengi mnataka kufanikiwa kwa kazi nyepesi nyepesi, IT yako itatusaidia kutafuta masoko ya nyanya. Karibu sana shambani!
 
unajua computer sana
..kama wadukuz uwe unadukuaaa tu
 
Njoo hapa Dakawa tulime, tatizo la vijana wengi mnataka kufanikiwa kwa kazi nyepesi nyepesi, IT yako itatusaidia kutafuta masoko ya nyanya. Karibu sana shambani!
Halafu tatizo lao wanafikiria kununua praddo na hammer,yaani hapo ukiuliza anataka mshahara kiasi gani utasikia kuanzia laki 6 hivi,.,........................
 
Polee na kazi ndg zangu jamani natafuta kazi yoyote niko morogoro naomba mnisaidie elimu yangu kidato cha nne na ninauwezo wa IT namba ya simu 0769322746 nitashukuru saaaana asanteni
Samahani upo tayari kufanya kazi za ndani?
 
Njoo huku Mikese uwe shambaboy km upo tyr
 
mim natafta Dada Wa kazi za ndani akieteyari tuwasiliane
 
Mkuu umesomea hiyo IT? Au unajua tu kubofya vitufe vya pentium2 kucheza game?maana form4 haina hadhi kwa dunia ya sasa kama Huna taaluma Nyingine ya kueleweka! Kazi gani unayoijua vizuri?
 
hafu hii nchi yetu sijui ipoje, mtu akisoma computer application anajiita IT, akijua kubadili Window anajiita IT. Mnaharibu professional za watu.
 
Natafuta kazi yoyote Niko Morogoro elimu yangu ni kidato cha nne na nani ujuzi wa computer no.0769322746
 
Habari zenu wanajf samahani natafuta kazi yoyote.Naomba mwenye kazi anisaidie ili niweze kujikimu mahitaji yangu elimu yangu ni kidato cha nne na nimesomea kompyuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom