Kwa mwenendo ulivokuwa hapo nyuma wa siasa katika nchi yetu, sikuona kabisa umuhimu wa kwenda kupiga kura katika uchaguzi ujao. Nilikata tamaa kabisa ya kura yangu ya mabadiliko kuheshimiwa.
Ila sasa nabadili gia, natamani hiyo siku ifike haraka nikapige kura tena kuyatafuta maendeleo ya kweli...
Pia kwa nawaza hiyo mil 4 waliyokuzidishia kwa nn wasiiongeze kwenye deni kuu ili deni liongezeke kufika mil 21. Makato yaongezeke au uongeze muda pia lakini uendelee kupata mshahara
Kwanza hauhitaji mtaji katika ile biashara. Unahitaji tu utambulisho kutoka serikali ya mtaa na udhamini tu. Ukifika pale utapewa lile bag na mzigo na utaingia mtaani kuuza. Jioni utarejesha palepale utalipia hela yao utabaki na faida yako. Kama hujamaliza utawarudishia tu.
Kwa ufupi hicho ndio...
Huo mkopo hauwezi peke yake ukatosha kukamilisha km hizo zote za dar dodoma. Dar moro tu peke yake ni $1.2 bilion na huo mkopo ni $1.46 bil. Hapo bado hujaileta morogoro-makutupora.
Bado tu huoni pesa ya ndani hapo?
Serikali ilishajicommit kumaliza phase ya kwanza kwa pesa za ndani mradi...
Niliwahi kuwaza siku moja jambo hili kwa nini hawa jamaa wamekazana na upimaji mpaka leo, nikapata jibu ni lazima kuna watu ambao wananufaika sana hilo jambo na hawako tayari kuacha mpaka mifuko yao itakapokuwa imetosha.
Mfano; upimaji wa corona ni gharama sana. Zile kit za kupimia mtu mmoja tu...
Hujaelewa kitu nilichoandika hapo juu. Mkopo ni kwa second phase na hapo wamesema. Kumbuka second phase ndio hiyo yenye 400km kutoka morogoro mpaka makutupora. Kipande cha kwanza ni hela za ndani dar-moro, jumla 300km
Membe si jasusi tena kama wengi walivomezeshwa. Alitoka katika kitengo cha usalama muda mrefu sana kipindi cha Nyerere huko nyuma. Watu wengi wamepita na mifumo mingi imebadilika hana tena mizizi huko usalama wa taifa. Imebaki ni CV tu hata haiwezi fanya chochote.
Exim ni benki ya China na si Uturuki, Uturuki haina uwezo wa kutoa mkopo wa pesa hiyo kwa Tanzania na yenyewe ina hali mbaya sana ya uchumi, fatilia hilo ujue.
Kipande cha dar es salaam-morogoro kinajengwa kwa pesa za ndani. Hilo ni kweli.
Kipande cha pili cha morogoro-makutupora ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.