Recent content by kingdadikat

  1. kingdadikat

    Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    Haiwezekana ukasoma hesabu ukapige MD au nursing....may be pharmacy... kwa hizo points zake akapige education
  2. kingdadikat

    Kilimo

    Habar wakuu ..naombeni kufaham maeneo ya kilimo kuanzia mlandiz adi kibaha
  3. kingdadikat

    Kwa wakulima wa kilimo cha umwagiliaji

    Na vp ishu ya usimamizi pamoja na kukodisha?
  4. kingdadikat

    Kwa wakulima wa kilimo cha umwagiliaji

    Vp maeneo yapo mkuu??
  5. kingdadikat

    Njoo tulime tikiti ujikomboe

    Vp kuhusu bei ya kulima mpaka kumaliza . ...fanya eka moja kwa makadirio
  6. kingdadikat

    Njoo tulime tikiti ujikomboe

    Nani atahusika na usimamizi kama aliyekodi hawez pata mda wa kusimamia??tufahamisheni vizuri wakuu
  7. kingdadikat

    Njoo tulime tikiti ujikomboe

    Eka moja naweza toa shilingi ngapi??
  8. kingdadikat

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Jaman tuwekeni kwenye magroup ya wauza smart
  9. kingdadikat

    Ni kosa kubwa sana kumfananisha Rais Magufuli na Dikteta

    Angalia vizuri media.. unataka kuniambia hao watatu waliotiwa mbaroni ni kinambowe?? Kuna wafuasi wa kawaida
  10. kingdadikat

    Ni kosa kubwa sana kumfananisha Rais Magufuli na Dikteta

    Watanzania hatujielewi, kila tukipata mtu ni malalamiko tuu, tukipata rais huyu ni malalamiko, tukipata huyu ni malalamiko na ndio maana nchi haiendelei, tupigeni kazi jamani mambo ya siasa waachieni wanasiasa,inasikitisha kuona watu wameacha kazi zao wanaenda polisi na mabango for nothing huku...
  11. kingdadikat

    Natafuta kiwanja Tegeta, Goba, Bunju, Boko

    Taja na bei kabisa mkuu
  12. kingdadikat

    Kozi za mtu wa PCB

    No medicine ni course kama hizo yaan kuna medicine, pharmacy,physiotherapy though zote ni kozi za afya.. medicine ni udaktar wa binadam
  13. kingdadikat

    Kozi za mtu wa PCB

    Zinasumbua... course zenye ajira ya serikali moja kwa moja ni medicine na education with science ...course zingine unatafta kazi mwenyewe
  14. kingdadikat

    Kwanini ukilala na mwanamke usipompa hela asubuhi anakudharau sana?

    Wanawake wa namna hiyo hawafai,, ukiona demu anaendekeza pesa achana naye.. mapenzi yapo moyoni na sio kwenye ngoni.. jirekebisheni kina dada
  15. kingdadikat

    Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

    Pole sana yangu.. kiufupi hawa viumbe ndo walivyo, ushaur wangu kwako achana naye we angalia mtoto tuuu na baada ya mda utapata mke mwema na muombe sana mungu... kuhusu suala la familia yake kwa sasa achana nayo fanya mambo yako kaka huku ukijua jukumu lako ni mtoto... ikitokea akajuta na kuja...
Back
Top Bottom