Recent content by kingbusara

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutoka Hosp Nilikolazwa: Kuna wanawake tunaweza date/oa kumbe wachawi/walozi

    Pole ndugu kwa kuumwa ila pole sana kwa kukutana jambazi la mapenzi na ndio mania linaishi single.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Maghembe apokea mabilionea wa dunia Serengeti

    Wewe hujuwi faida ya kutembelewa na wageni Wa aina hio nitakukumbusha alikuja bilionea mmoja kutoka USA jina nimesahau ila alijitolea HELCOPTER 1 kwa ajili ya kulinda wanyama zidi ya Majangili. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania PICHA: Msiba wa mke wa Dk Mwakyembe

    Pole Sana kiongozi wetu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaonyonyesha, Shule ya Oldonyo Kenya ni mfano mzuri

    Kwa masikitiko makubwa watu wengi hawamuelewi Rais Magu ,Rais hajakataza au kuzuwia Wanafunzi wa kike Kupata elimu wakipata ujauzito mashuleni bali amekataza kurudia shule kusoma baada ya kujifungua. Kwasasa kuna vituo vingi (Q T) viko sehemu mbalimbali vinapokea Wanafunzi wa Aina hio...
  5. K

    JamiiForums Tanzania RC Gambo ameivua nguo serikali na mamlaka iliyomteua

    Wakati mwingine mapenzi ya jambo au kitu fulani huwa hayaoni kabisa mf unaambiwa mtu au kikundi fulani wanachanganya siasa ktk misiba hutakubali kwa kuwa Tayari unamapenzi na mtu au kundi fulani lakini hata kwa akili ya kushikiwa tu kwanini unakwenda kutoka rambi rambi ubebe na waandishi na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Gwajima kujibu tuhuma za Bashite na kuelezea ukwepaji kodi wa Sahara Media

    Wanaepaswa kujuwa nani analipa kodi au halipi ni TRA inashangaza kuona viongozi wa Dini kulisemea hilo.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Utumbuaji wafanyakazi 10000 kumzamisha Magufuli 2020

    Nakuunga mkono ndugu yangu Unajuwa Rais angeacha madudu Kama haya baadae wangesema dhaifu ndio hao hao waliolalamika Shirikala la ndege kufa leo linanunuliwa ndege pia wanalalamika mbona hamueleweki?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Jana ilikuwa siku ya Rais Magufuli kujenga umaarufu

    Tatizo la wauza madawa ya kulevya ndio wachangiaji wengi Mwacheni Rais Afanye kazi yake na Kama mnachuki binafsi na wateuliwa wake imekula kwenu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Rais kuponda vyuo vingine?

    Wachangiaji wengi hawakumuelewa Rais yeye Katowa Ushauri kwa TCU kuwapa uhuru Wanafunzi wachague vyuo wanavyotaka sasa tatizo Nini?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya uzinduzi wa hostel Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kesho

    Watanzania tupongeze na kusifia vyetu Kama utakumbuka Rais mstaafu kikwetu alimuomba jpm kujengewa hostel jambo ambalo jpm amelitekeleza sasa kwanini baadhi ya wachangiaji Wanachangia kwa mipasho na kebihi inashangaza.
  11. K

    JamiiForums Tanzania SABC NEWS: Magufuli kutoka Rais apendwaye mpaka kuwa dikteta!

    Nchi yao inawashinda ubaguzi kila kona sasa wanawabagua hata raia wa nchi zingine za kiafrika .
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mapenzi ya dhati lakini sipati mwanaume mwenye mapenzi ya dhati

    Ushauri wangu dada subiri ndoa na MUNGU ATAKUPA ila usisahau maombi.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya nafasi 2 za CHADEMA Afrika Mashariki

    Tena hata hao wakanda ya ziwa kwakuchaguliwa na Chadema washukuru kwani kanda yakaskazin ndio yenye chama.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa Zitto: Kigoma mjini tunaangamia

    Inashangaza wale tunaowalipa bili kila mwezi wanashindwa na wao kulipa tanesco hii Kali kweli nimeamini kila mnyoa nae hunyolewa.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kama haya ya walinzi wa Makonda kwa Nape ni kweli basi ni aibu kwa Rais wetu

    Ndio maana umeambiwa mnapenda Sana udaku msipende kuwachonganisha Rais na watendaji wake.
Back
Top Bottom