Prof. Maghembe apokea mabilionea wa dunia Serengeti

Prof. Maghembe apokea mabilionea wa dunia Serengeti

MK254 akiona habari kama hii anawahi tweeter kurusha kuwa mabilionea 26 wametua Kenya na wamepokelewa na waziri wa utalii wa kenya Ndugu Maghembe,hawa watu hawana hata chembe ya aibu
 
Waziri anachezea pesa eti ameenda kupokea watalii! ndio kazi ya waziri hiyo? Hao mabilionea wanafanya ziara ya kiserikali au binafsi?
Wewe hujuwi faida ya kutembelewa na wageni Wa aina hio nitakukumbusha alikuja bilionea mmoja kutoka USA jina nimesahau ila alijitolea HELCOPTER 1 kwa ajili ya kulinda wanyama zidi ya Majangili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SERENGETI, Mara: 23.07.2017 Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe, jana aliwapokea Mabilionea 26 katika Mbuga ya Serengeti. Mabilionea hao walifuatana na wenzi wao (26) katika ziara yao ya siku 3 nchini Tanzania. Wageni hao ambao wanatoka katika club ya mabilionea ya YPO (Young Presidents Organisation) wanatoka mabara yote duniani. Ziara hii ni ushahidi kuwa Tanzanina sasa hivi inaongoza kwa vivutio vya utalii barani Afrika na duniani.

Katika ziara hiyo ya nchi nane (8) ambazo ni: Uingereza, Rwanda, Tanzania, Maldeves, Nepal, Bhutan, Rajastan na nchi moja nyingine, wageni hao wamemwaga sifa kem kem kwa vivutio vya Tanzania. Katika hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia Wageni wake, Prof. Maghembe aliwakaribisha nchini Tanzania na kuwaambia kuwa maajabu ya Dunia yamebebwa na hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

"Hakuna eneo lolote katika uso wa Dunia lenye mkusanyiko wa wanyama wanaokula majani (herbivorous) na wale wanaokula nyama (carnivorous) kama ilivyo katika mbuga hiyo ya Serengeti. Aidha, Prof. Maghembe aliwaeleza wageni wake kuwa uhifadhi ni gharama kubwa inayobebwa na Tanzania kwa niaba ya Dunia.

Aliwaomba wageni hao wawe Mabalozi wa kuitangaza Tanzania kama eneo pekee la amani lenye vivutio vyenye ubora wa pekee duniani. Alisema hatua hiyo italeta watalii wengi nakuiongezea Tanzania mapato. Aidha, aliwaomba warudi tena kuwekeza nchini ili washiriki kwenye uchumi unaokuwa kwa wastsni wa 7% kwa kipindi cha miaka 15 sasa.
Nani kama Magufuli? Waliokuwa wanapika makelele sasa kimyaaa! Si walikuwa wansema mara ooh! kodo kubwa wapo wapi leo au kodi imeshuka 0%?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmmh. Ndio kazi za waziri now days?? Anaacha kushughulikia migogoro baina ya wananchi na hifadhi zetu anakwenda kupokea watalii?? Hii ndio nchi ya v-Wonder. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very good,this is fantastic.Hii sio bure,nadhani sifa za Magufuli nazo zimechangia na zinatuuza.They must be saying, "whoo,let's go and see where this extremely rare African called Magufuli resides,is he really African and coming from Africa?" Nadhani he is also a tourist attraction.

African leaders are very famous for plundering their countries' natural wealth and resources,so to have a President like Magufuli, is an extremely rare phenomenon.
Nina mtu yuko Marekani, ameshuhudia kuwa kule kila msomi kwa sasa anamjua Magufuli wa Tanzania.
 
SERENGETI, Mara: 23.07.2017 Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe, jana aliwapokea Mabilionea 26 katika Mbuga ya Serengeti. Mabilionea hao walifuatana na wenzi wao (26) katika ziara yao ya siku 3 nchini Tanzania. Wageni hao ambao wanatoka katika club ya mabilionea ya YPO (Young Presidents Organisation) wanatoka mabara yote duniani. Ziara hii ni ushahidi kuwa Tanzanina sasa hivi inaongoza kwa vivutio vya utalii barani Afrika na duniani.

Katika ziara hiyo ya nchi nane (8) ambazo ni: Uingereza, Rwanda, Tanzania, Maldeves, Nepal, Bhutan, Rajastan na nchi moja nyingine, wageni hao wamemwaga sifa kem kem kwa vivutio vya Tanzania. Katika hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia Wageni wake, Prof. Maghembe aliwakaribisha nchini Tanzania na kuwaambia kuwa maajabu ya Dunia yamebebwa na hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

"Hakuna eneo lolote katika uso wa Dunia lenye mkusanyiko wa wanyama wanaokula majani (herbivorous) na wale wanaokula nyama (carnivorous) kama ilivyo katika mbuga hiyo ya Serengeti. Aidha, Prof. Maghembe aliwaeleza wageni wake kuwa uhifadhi ni gharama kubwa inayobebwa na Tanzania kwa niaba ya Dunia.

Aliwaomba wageni hao wawe Mabalozi wa kuitangaza Tanzania kama eneo pekee la amani lenye vivutio vyenye ubora wa pekee duniani. Alisema hatua hiyo italeta watalii wengi nakuiongezea Tanzania mapato. Aidha, aliwaomba warudi tena kuwekeza nchini ili washiriki kwenye uchumi unaokuwa kwa wastsni wa 7% kwa kipindi cha miaka 15 sasa.
Mmmmh.Tz ya v-Wonder.
Waziri anaacha kushughulikia issue sensitive za wizara kama vile migogoro baina ya wananchi na hifadhi anakwenda kuwapokea watalii?? This happening only in Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali ni je Tanzania itatumiaje hii fursa kukuza uchumi wa taifa? Yaani kuwashawishi hao billionaires wawekeze nchini? Au watatalii tu nakusepa bila kuwaingizia habari zozote zile?

Small minded people will never understand
Tatizo viongozi wengi wa chama chakavu vichwa maji.. fursa kama hizi hawazioni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri anachezea pesa eti ameenda kupokea watalii! ndio kazi ya waziri hiyo? Hao mabilionea wanafanya ziara ya kiserikali au binafsi?
hamkosekanagi!!..becky alivokuja kimyakimya mkalalamika kwanini hajapewa free service haya wamekuja mabilionea 26 mnasema sio kazi ya waziri..mnatakaje!?
 
Back
Top Bottom