Gwajima kujibu tuhuma za Bashite na kuelezea ukwepaji kodi wa Sahara Media

Mm naona Gwajima sasa unalitumia kanisa vibaya, mchungaji hutakiwi kujibu kila linalosemwa, mchungaji unatakiwa kuwa na hekima za hali ya juu sana, fanya kazi ya kuinjilisha siyo kutoa mipasho yako.
Kama unaweza kushauri mwambie bashite alete vyeti na Nina lake kamili kisha aombe samahani kwa watanzania has a Wa dar kuchanganya ujinga wake na wivu watamwelewa

Mungu yupo
 
Mimi siyo time bashite maana siijui,na simkatazi kusema mdomo mali yake,tatizo langu ni platform anayotumia na title anayojipa ya uaskofu naona havirandani najiuliza ni huduma ya roho yupi?mtakatifu au mtakavitu.
Anzia kwa bashite ambaye analipwa kwa kodi zenu Gwajima anafanya kujihami na uonevu Wa bashite
Kumbuka aliwasema wengi sn shukuru huna kitu na wewe ungetangazwa kuhusu unga ungejisikiaje

Yani ukimzidi utajiri kosa
Madem wakimkataa kosa
Kisa kuwa mkuu Wa mkoa hapana
 
Niliyatarajia haya hasa baada kusema Gwajima anakwepa kupima DNA
 
Gwajima Gwajima!! Huyu roho wako huyu,hata shetani hamjui.
Mkuu Askofu Gwajima alikuwa kimya alishamalizana na huyo mtu. Huyo mtu amemchokoza tena na hata wewe uliona amechokozwa labda mapenz ya dhati ya bwana yule yamekuzid...inamaana hukumsikia wala kumuona akisema huyu sio askofu wala mchungaji eti yeye akatoa ufafanuzi askofu au mchungaji anatakiwa awe na vigezo gani...Theologia alisoma lini? Mwenzake ana PhD ya theologia? ni credible source on divinity & theology issues. In short jamii haiwezi kupokea maelekezo juu ya issue za kidini kwa huyo mtu kwakuwa hajabobea kwenye hiyo fani.Kwa Bishop Dr.Josephat Gwajima ni sawa. Napita tu...
 
Na anakuzidi kwa mapato sasa wewe ambae betri yako imeisha chaji endelea kusifia mkuu wa mkoa aliyekengeuka

Ananizidi sana, Pato lake la Jumapili Moja tu ni kubwa kuliko langu la Mwaka Ndio sababu siwezi kupeleka hela ya Sadaka ya kumtukania Mwanakijiji Mwenzie toka Koromije!
 
Kama unaweza kushauri mwambie bashite alete vyeti na Nina lake kamili kisha aombe samahani kwa watanzania has a Wa dar kuchanganya ujinga wake na wivu watamwelewa

Mungu yupo
Aombe samahani amewakosea nini, vyeti vyake vinakuhusu nini, badala ya kuonhea mambo ya maana unang'ang'ana vyeti akivitoa what next, vyako nani kakwambia utoe hizi siasa uchwara zenu hizi.
 
Back
Top Bottom