PICHA: Msiba wa mke wa Dk Mwakyembe

PICHA: Msiba wa mke wa Dk Mwakyembe

Pole sana Mheshimiwa Waziri.Mungu wa mbinguni akutie nguvu pamoja na vijana wako.
 
Pole sana Mheshimiwa H.Mwakyembe. Kumbuka tumezaliwa ili tufe na kifo ni hakika kila nafsi itapitia. Huzuni ni pale Wapendwa wetu wanapotangulia. Bwana Mungu hurarua na kushona Roho zinazoumia(Hosea 6:1). Mungu muweza akutie nguvu wewe na Watoto. Pumzika kwa Amani Mrs Lina Mwakyembe.
 
Kwa Mungu kila nafsi itarejea. Nimpe pole mheshimiwa kwa kupoteza mke na pole kwa watoto kwa kupoteza mama. Mimi binafsi mama yangu alifariki kwa ugonjwa huu nikiwa na miaka 4 ila namshukuru Mungu na Mzee wangu kwa kuipigania na kunipa nguvu hadi sasa nina miaka 37+ ila naumia sana nikisikia huu ugonjwa.Mungu tujalie amani na upendo tuishi kwa upendo tukisubiri ule mji udumuyo.Pole kwa wote waliogushwa na msiba huu
Samahani mkuu, amefariki kwa ugonjwa gani? Pole Sana Mh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa,magar,majumba,na vyeo
Vyote hvo tunaviacha hapa
Dunia kila,nafs itaonja
Umauit

Rest in peace

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Tuliza moyo waziri japo ni ngumu lakn utasahau wakupe likizo kdg naomba hilo lifanyike.

Sote tutakwenda ila inauma sana kuondokewa
 
Back
Top Bottom