Recent content by kinganola

  1. kinganola

    Gwajima aishauri Serikali kumkamata Ahmed Msangi

    jamani, angalieni video ya Dr Ulimboka kwenye you tube,hawa watu Ahmeid na Rama mbona hawakamatwi? hapa tujiandae,watatafuta tukio moja kubwa ambalo watalitumia kufukia hiki kisanga cha Dr Ulimboka kuna kila dalili ya GVT kuhusika katika hili jambo.:wacko::wacko:
  2. kinganola

    Prof.Majimarefu avamia kambi ya CDM leganga Arumeru na kusababisha tafrani

    Kuna Mengi sana yanatokea Arumeru.CCM kwa kweli wanatusumbua sana.Ila hatutachoka kuya report hapa kwa wana JF ili wajue nini kinaendelea,TV,Magazeti na Redio sometime hazilipoti habari nyeti kama hizi...
  3. kinganola

    Olesendeka amhakikishia ushindi Joshua Nassari Arumeru Mashariki

    Nanukuu kauli aliyo itoa mbele ya msafara wa CDM ulio kuwa ukielekea Mererani.JOSHUA UTASHINDA,UBUNGE UTASHINDA NA NINAVYOSEMA I MEAN IT mwisho wa kunukuu... Wakiwa safarini CDM kuelekea Mererani walikutana na Mh Sendeka ndipo Sendeka aliposhuka kwenye Gari na kutaka kukumbatiana na Dr Slaa,Dr...
  4. kinganola

    Prof.Majimarefu avamia kambi ya CDM leganga Arumeru na kusababisha tafrani

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida,mbunge wa korogwe vijijini prof Majimarefu siku ya leo trh 20March,alikuja mahali CDM walipoweka kambi panapo julikana kama Elephant logde maeneo ya leganga na kuzua tafrani kwa wakereketwa wa CDM. Awali Mbunge huyo alifika hapo na kuingia hotel iliyo oposite na...
  5. kinganola

    CCM wametuma vijana kununua shahada za kupigia kura za wanachuo Tumaini Makumira Univ

    wametumwa kutafuta kadi,tunajua hakuna msomi atakaye uza kasi yake labda awe mnywa gongo,kitakachofanyika hapa ni kuwawekea mtego,kadi watapata ila punde kitawanukia na hawata amini... Unajua shida iliyopo hapa kuna vijana ni makada wa ccm na wamesha itwa kwenye vikao na kukabidhiwa fedha na...
  6. kinganola

    CCM wametuma vijana kununua shahada za kupigia kura za wanachuo Tumaini Makumira Univ

    huwezi amini lakini hili suala linaukweli asilimia 100%,wawakilishi wa ccm hapa chuoni na majina nitayatoa kesho mara baada ya mikakati ya kuwatia nguvuni kukamilika.haijulikani wamepewa tshs ngapi na watanunua kadi moja kwa tshs ngapi.Kazi kubwa waliokuwa wakiifanya leo ni kujaribu kupata idadi...
  7. kinganola

    Wazee wa Arumeru wakataa kupanda malori wanataka V8

    thats si true.nakumbuka hata siku ya uzinduzi wa kampeni za ccm,kuna wazee walitelekezwa leganga,nilio waona mimi ni wazee walio achwa na kosta zilizotoka monduli na kulazimika kulala stend,next day wakachangiwa hela na wamasai waliokuwa jirani na kurudishwa kwao monduli...
  8. kinganola

    Polisi waliopewa kazi Maalumu Arumeru walalamikia malipo ya tshs 10,000 kwa siku

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida,polisi waliokuja wilayani Arumeru zaidi ya 1000 kutoka ndani na nje ta mkoa wa Arusha, wamemuandikia barua ya siri Dr Slaa na kumuomba awasemee tatizo lao la malipo kiduchu ya tshs 10,000 kwa siku. Serikali imetumia gharama kubwa sana kuleta vifaa vya kijeshi...
  9. kinganola

    CHADEMA wanamkubali LOWASSA ndiyo maana hawamsemi katika kampeni zao

    Lowasa anamafyongo yake mengi sana,jambo la msingi ni kwamba CDM haipo kuwasema magamba,ipo kueneza Sera za CDM na kuahidi itawafanyia nini wana Arumeru.Ukisema tuseme mafyongo ya EL kwa wana Arumeru ni kuwatia hasira tu.Lile la kusafirisha maji toka Mlima Meru kwenda Mondoli zaidi ya KM 50 na...
  10. kinganola

    Vijana wa CCM wafanya fujo na kuteka Magari Madiwani Majiyachai,CDM wawasambaratisha

    Madiwani wetu wa CDM kutoka moshi watekwe na kulazimishwa kuchana picha za mgombea wa CDM alafu chadema tukae kimya,hapana haiwezekani na tumesha sema kuwa CHADEMA NI WAPOLE LAKINI SIO WANYONGE,Mungu ibariki Arumeru,Tumeanza na Mungu titamaliza na Mungu...
  11. kinganola

    Vijana wa CCM wafanya fujo na kuteka Magari Madiwani Majiyachai,CDM wawasambaratisha

    Mara baada ya madiwani kupata mwanya na kuondoka,Vijana wa CDM wa majiyachai wame weka target na kuvizia magari yaliyotoka kwenye kampeni za CCM na kuharibu kwa mawe gari moja lililokuwa limebeba waandishi wa habari.
  12. kinganola

    Vijana wa CCM wafanya fujo na kuteka Magari Madiwani Majiyachai,CDM wawasambaratisha

    true story,ccm ni wachokozi mno,nimetoka maeneo walipo weka kambi CDM,huwezi amini Semi la TOT la CCM ninapita njia hiyohiyo taratibu huku limewasha taa za kimulimuli,ninini hiki kama si kutaka vijana wa CDM wawazingue?
  13. kinganola

    Vijana wa CCM wafanya fujo na kuteka Magari Madiwani Majiyachai,CDM wawasambaratisha

    katika hali isiyokuwa ya kawaida,vijana wa ccm wameteka magari ya madiwani wa CDM na kublock msafara wao na kuwalazimisha wang'oe picha za mgombea Joshua Nassari. Kwa bahati habari zikaifikia ilipo kambi kuu ya CDM maeneo ya Leganga na vijana kuondoka na Magari kama sita kwenda kuwakomboa...
Back
Top Bottom