CHADEMA wanamkubali LOWASSA ndiyo maana hawamsemi katika kampeni zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA wanamkubali LOWASSA ndiyo maana hawamsemi katika kampeni zao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Mar 18, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Tangu kuanza kwa Kampeni za uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Arumeru mashariki, sijawasikia wapinzani hususani CHADEMA wakitaja jina la EDWARD LOWASSA katika kampeni zao. Pamoja na kwamba ni mkwe wa SIOI SUMARI pia zilikuwepo tetesi wakati wa kura za maoni ndani ya CCM kuwa EL ametoa fedha nyingi kumsaidia mkwe wake hali iliyosababisha mgawanyiko ndani ya CCM.

  Kwa kutomsema jukwaani je, hii inamaanisha kuwa nao wanamkubali EL katika medani za siasa au wanamuogopa?
   
 2. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  He is the best president we never had.
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Is he a president? or a president to be?
   
 4. B

  Bweri Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nadhani cdm wako makini wanajua nn wanafanya kwa mustakabali wa wana arumeru mashakariki,kumuongelea lowasa inasaidia nn,hz ni siasa za maji taka.
   
 5. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Jibu lako bonyeza hapa;

  Una lingine?
   
 6. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,537
  Likes Received: 10,457
  Trophy Points: 280
  kwa saizi chedema hakuna wa kuhesabu maovu ya lowass na kutaja hadhani..na ikitokea lowasa akateuliwa na ccm kugombea urasi na akashinda chadema watakua wa kwanza kwenda kumshika mkono.!!
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Lowasa hagombei Arumeru Mashariki. Ni vizuri CHADEMA wajiepushe na mchezo anaofanya Wasira wa ku-attack watu binafsi, tena watu ambao hawagombei Arumeru Mashariki. CHADEMA wa-focus kwenye issue zinazowagusa wananchi wa kawaida, ardhi, ufisadi kwenye halmashauri, ushuru sokoni kwa wakina mama hata kabla hawajauza ndizi zao, shule, maji, mbolea za ruzuku etc. Lowassa sio issue Arumeru Mashariki.
   
 8. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Leo keshapewa zake, na kuhasi kwake kabila lake.
   
 9. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Kwa wiki nzima Chadema mmemshabulia Mkapa Bella sababu ya maana, akisemwa Slaa eti anasemwa ili Hali hagombei ubunge. Arumeru hivi Mkapa yeye anagombea ubunge Arumeru ? Alichokiamini anafanya Wasira ni kuchambua uongozi aw Chadema ambae siku zone umekuwa ukijidai kupambana na ufisadi ili hali wao pia ni mafisadi na pia wafusika.:hand:
   
 10. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mwambieni aige ya akina mkapa aone! Kwani kabla mkapa hajaropoka alikuwa anasemwa?
   
 11. kinganola

  kinganola Senior Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lowasa anamafyongo yake mengi sana,jambo la msingi ni kwamba CDM haipo kuwasema magamba,ipo kueneza Sera za CDM na kuahidi itawafanyia nini wana Arumeru.Ukisema tuseme mafyongo ya EL kwa wana Arumeru ni kuwatia hasira tu.Lile la kusafirisha maji toka Mlima Meru kwenda Mondoli zaidi ya KM 50 na kuwaacha wana Meru hawana maji,linatosha kabisa kuwakera nala Lowasa kuasi kabila la Wameru na kujifanya Mmasai ndo mwiba kabisa?
   
 12. z

  zedlyn JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  lowasa hawawez kumtaja coz atawaharibia hali ya hewa arumeru east alafu ile helcopter ya cdm imeenda wapi?
   
 13. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,825
  Trophy Points: 280
  Hivi Lowasa ndo mgombea wa Arumeru east?
  Kuacha kuzungumza sera na hoja ya msingi na kutumia siasa za maji ya chooni ni sifa ya mtu aliyeshindwa kutoa/kujibu hoja.
  Watu wenye akili za kawaida sana huwa wanajadili watu badala ya issues.
   
 14. mdhalendo

  mdhalendo JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  thats true, CHADEMA ni chama makini sana hakitumii siasa za MAJI TAKA kama walivyofanya CCM kupitia kwa Mkapa na Wassira, kinachotakiwa ni kutangaza sera si suala la flani kumchumbia flani na flani kutokuwa mwana ukoo wa Nyerere matokeo yake ni kuumbuka kwa Rais mstaafu mkapa
   
 15. John Mnyika

  John Mnyika Verified User

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 16, 2006
  Messages: 715
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Hujawasikia kwa sababu haupo Arumeru Mashariki kufuatilia kila mkutano na kila kinachosemwa na kila kiongozi wa CHADEMA anayepanda jukwaani. Kinachotoka kwenye vyombo vya habari ni sehemu ndogo ya hotuba za viongozi. Hata hivyo, Lowassa au kiongozi mwingine yoyote wa CCM sio kipaumbele cha ajenda za CHADEMA katika Uchaguzi wa Arumeru- rejea kwenye taarifa tuliyotoa awali Ratiba ya CHADEMA ya Uchukuaji Fomu na Uteuzi wa Mgombea wa jimbo la Arumeru Mashariki ambapo tulieleza bayana kwamba kipaumbele chetu kwenye kampeni hizo ni kunadi uongozi bora, sera sahihi, mikakati makini na oganizesheni thabiti kwa maendeleo endelevu ya Arumeru Mashariki na Taifa kwa ujumla. Hata hivyo, hutokea tukataja majina ya watu wakati tunapozungumza sera ya kupambana na ufisadi, kusimamia uwajibikaji, kutetea rasilimali za taifa na kufanya mabadiliko katika mfumo wa utawala. Kwenye hatua hiyo majina hutajwa kutegemea na mazingira. CHADEMA haiwezi kumkubali Lowassa kwa kuwa tayari ilishamweka kwenye orodha ya mafisadi ambayo unaweza kuirejea hapa: Orodha ya Mafisadi (List of Shame) . Kwa kutambua hayo, na kwa kuwa yeye si mgombea mkazo uko kwa mgombea na wote wanaokwenda kumnadi kwa kufanya propaganda chafu, Lowassa naye akishiriki kama Mkapa Mwenyekiti ameshasema kwamba anasubiriwa Arumeru Mashariki, rejea kauli yake hapa: Lowassa,Mbowe vitani Arumeru
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  CDM wakiamua wanaweza kummaliza kabisa ELArumeru ndege yake isije kupaa kabisa Lakini kwa kumjua Lowassa hatoingia mtego wa Mkapa; hatowashambulia viongozi wa CDM au CDM kama chama na badala yake atajikita zaidi katika kuelezea mafanikio ya uongozi wake. Ninachokiona zaidi ni kuwa atabakia katika kuonesha mafanikio ya "serikali" wakati wake!

  La msingi ni kuwa CDM haipaswi kkuweka suluhu kwamba kama hatowashambulia basi wao hawatomshambulia! Kwa kukubali kuja jukwaani EL amekubali kuguswa. Ukikubali kuingia uwanjani umekubali kupigwa chenga!
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  uzuri mmoja wa lowassa ni kuwa hana taimu na gutter politics, so cdm hawana taim na mtu kama huyu
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kwani EL ndio anagombe............

  yani watu wengine wanatia huruma, wameathirika kabisa na magamba kiasi kwamba wanadhani siasa bila maji taka haiwezekani; vipi ulitaka waje waseme na yeye sio mtoto wa fulani, au babake alimkataza kwenda kwenye siasa??

  Lets stop this nonsense smearing poop
   
 19. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,971
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  ​Hivi bado yuko hai huyo fisadi?
   
 20. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,577
  Likes Received: 18,524
  Trophy Points: 280
  Mzee Mwanakijiji, kushinda vita sio tuu kunahitaji strategic attacks peke yake, bali pia war tactics!. Kama unadhani Chadema wanaweza kummaliza kabisa EL kwa kuzuia ndege isiweze kupaa kabisa!, you must be wrong kwa sababu bila EL kusimamishwa kama mgombea wa CCM, ukombozi wa pili utakuwa ni vigumu kupatikana kwa sababu CCM itampitisha mtu kama Dr. Shein au hata Magufuli ambao ni vigumu zaidi kuzuia ndege zao zisipae!.

  Stategy yangu ni Chadema kujiepusha kabisa na kumshambulua EL tena hata waka dupe kuwa CCM ikimsimamisha EL, wao hawatasimamisha mgombea ili kujipatia easy ride!.
   
Loading...