Recent content by King_jcb classic

  1. King_jcb classic

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa lugha nisaidieni

    Toka Nje unamwambia mtu uliyoko naye ndani Toka ndani unamwambia mtu aliyeko Ndani wakati huo wewe upo nje Sent using Jamii Forums mobile app
  2. King_jcb classic

    JamiiForums Tanzania Nikifika mwisho lazima haja kubwa itoke

    Aisee Hilo tatizo ni kubwaa wewe huoni inakata stm tena huyo dem anakupenda angekua akupendi asingekaa na ww hivyo Njoo Jb herbal clinic kwa Tiba mbadala za uhakika Watsapp kwa maelezo zaidi 0752841018 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. King_jcb classic

    JamiiForums Tanzania Msadaa waungwanaaaa..

    Toa nne za hedhi jumlisha Saba Salama zinazofuata ni hatari zipo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. King_jcb classic

    JamiiForums Tanzania Je kuna mbadala wa (Scrotum) Nervous na nini chanzo cha huu ugonjwa?

    Karibu Jb herbal clinic kwa Tiba mbadala watsapp 0752841018 kwa maelezo zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. King_jcb classic

    JamiiForums Tanzania Tusiokuwa na mapenzi ya dhati na hulka ya kutodumu katika mahusiano tukutane hapa

    Hili swala mm hua naliita automatic reaction Endelea mkuu ipo siku hiyo Hali itaisha yenyewe kweli Kabisa [emoji2][emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. King_jcb classic

    JamiiForums Tanzania Kwa nini baada ya kuishi naye huwa mnajuta na sifa zinapungua???,huku ulikuwa unamsifia sana kabla!!!!

    Kweli Kabisa Sijui Kuna nn Sent using Jamii Forums mobile app
  7. King_jcb classic

    JamiiForums Tanzania Natafuta business partner

    Nahitaji mtu ambaye yuko serious anamalengo na awe mtu asiyependa starehe kupita kiasi awe anajua vzr Biashara Awe angalau na ml2 jinsia yeyote Njoo watsapp 0752841018 nikuambie ni Biashara gani tudiskas nipo Moshi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. King_jcb classic

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua mambo mengi

    Kwetu tupo majembe tuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. King_jcb classic

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua mambo mengi

    Asante wana JF Josze kwetu tupo majembe tuu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. King_jcb classic

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua mambo mengi

    Jamani mm Nataka kujua mambo mengi Sana huku JF mm ni member mpyaa Kabisa twende sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. King_jcb classic

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kabisa yaani ukinifuata mm usipokufa utakua unajeuri Sent using Jamii Forums mobile app
  12. King_jcb classic

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kabisa yaani ukinifuata mm usipokufa utakua jeuri Sent using Jamii Forums mobile app
  13. King_jcb classic

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Ili niweze kuendesha hii Biashara ya ufugaji wa kuku wa nyama natakiwa kufanya nini na Je niwe na kiasi gani cha pesa? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. King_jcb classic

    JamiiForums Tanzania Natafuta partner wa kufanya nae biashara

    Hata mm nahitaji kuwa na business partner lkn sijajua unadili na nini nichek watsapp tubonge 0752841018 Sent using Jamii Forums mobile app
  15. King_jcb classic

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Jamani wadau Nina ml.2 Biashara gani itanipa faida vzr ya kudumu?? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom