Dickson Temba
Member
- Apr 30, 2013
- 5
- 0
0766623052 Add me please
Post sent using JamiiForums mobile app
0766623052 Add me please
Post sent using JamiiForums mobile app
0766623052 Add me please
Post sent using JamiiForums mobile app
Hufai kuwa mfugaji..mana unaonekana unataka faida ya haraka sana utatuharibia tasnia. Kuku kawaida yake ni kutaga mara moja kwa siku. Kama unaona yai moja halikulipi achana na hii kazi.Mimi na mpango wa kuanza kufuga kuku ila nasikia kunadawa inauzwa kwenye maduka ya mifugo kuwa ukimpa kuku anataga sana kwa siku hata Mara mbili. mnaweza kuifahamu hiyo dawa inaitwaje na je ni nzuri kumpa kuku na haileti madhara kwenye mayai?
Hufai kuwa mfugaji..mana unaonekana unataka faida ya haraka sana utatuharibia tasnia. Kuku kawaida yake ni kutaga mara moja kwa siku. Kama unaona yai moja halikulipi achana na hii kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mrejesho tafadhali......Nategemea kuanza kufuga kuku kama 300 aina ya kuroiler ili niwauze pasaka mwakani.maana maisha ya kutegemea mshahara yanaumiza sana kwakuwa nitakuwa mgeni katika ufugaji nitakuwa nawasumbua sana kwa maswahili kuhusiana na ufugaji wa kuku
Usikate tamaa,angalia ulikosea wapi urekebishe... mimi najifunza,naanza soonNilianza ufugaji, nikaingiza Kuroiler 300.. Kuna changamoto Sana, Waliugua wakafa kama 200 hivi.. Inauma sana sema ndio changa moto zenyewe.. waliobaki kama 97 wanaendelea vizuri mwezi wa nne huu! sijakata tamaa, kwa sasa nina mpango wa kununua wa mwezi mmoja au zaidi wakati naendelea kujifunza
Usikate tamaa mkuu, mwenyewe nilipeleka mayai 60 ya kienyeji pure kutotolesha vikatoka vifaranga 45, msala ukaja kuvilea vikaanza kuumwa vinatoka kama vidonda(damu) sehemu ya haja, karibu kila siku naokota kimoja walinambia nitumie esb3 lakini hola, vina wiki mbili saizi lakini vimeshakufa sita tayari, sijui kesho nitaokota vingapiNilianza ufugaji, nikaingiza Kuroiler 300.. Kuna changamoto Sana, Waliugua wakafa kama 200 hivi.. Inauma sana sema ndio changa moto zenyewe.. waliobaki kama 97 wanaendelea vizuri mwezi wa nne huu! sijakata tamaa, kwa sasa nina mpango wa kununua wa mwezi mmoja au zaidi wakati naendelea kujifunza