Tax driver 2.. Wanasema hv tusimulie hadithi yako kisha amua mwenyewe tukulipizie kisasi au?
Hii series ina mkono balaa hakuna cha love story ni akili na actions tupu..
Naomba kufahamu kama naweza kusoma maneno yaliyozibwa na sticker au rangi mfano bluu nyeusi nk katika picha za whastapp au zozote zile.. Mfano picho hiyo hapo chini nataka nione kulichozibwa
Waya wa Ethi utakuwa umeisha... Wasiliana na fundi aje kurekebisha kuweka waya upya.. Mwenyewe nilikuwa na tatizo kama hilo ila alivyobadilisha sasa hv unit haziendi kama zamani
Natumia Espson L3150 iko poa sana.. Ila juzi nimeweka wino lkn nikaona a baada ya muda printer inavujisha wino kwa chini.. Shida ni nn.. Ila sasa hv iko poa
Nina tatizo na external yangu ya Toshiba 1 Tb.
Ukiconnect kwenye laptop unasoma ila ukitaka ku transfer files zinagoma kuingia.
Nimejaribu kuitoa ktk case yake wapi, pia nmechange ule wire pia Hola.
Nimejaribu ktk pc ingne pia ni hivyo hivyo.
Msaada tafadhali
Nina tatizo na external yangu ya Toshiba 1 Tb.. Ukiconnect kwenye laptop unasoma ila ukitaka ku transfer files zinagoma kuingia... Nimejaribu kuitoa ktk case yake wapi, pia nmechange ule wire pia Hola.. Nimejaribu ktk pc ingne pia ni hivyo hivyo..
Msaada tafadhali
Kuna apps ya phone master ya clear junk files.. Pia unaweza kwenda ktk setting then storage Kuna setting ha cm ha kuclear unwanted files..
Ikishindikana fanya backups then fanya restore factory
Nakushauri usiache fuatilia.. Kieffer Sutherland (Jack Bauer) anakwenda na muda kwa ajili ya kukamilisha mission mbal mbal za kigaidi. No time to rest humo.. Hii series kali ya muda wote kuwahi kutokea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.