Watts ni Volts x Amps so.
120v x 1.1amps = 132 watts.
Ila sasa umeme wa TZ sio 120V ni 230 so hiyo picha sio sahihi au unatumia converter kwa bongo.
So ingekuwa 230 x 1.1 = 253 watts. (Vifaa vya 230 mara nyingi vinahitaji amps ndogo zaidi so angalia vizuri label)
Masaa 12 kwa hiyo ya kwenye picha.
132W x 12h = 1584 Wh
Gawanya kwa 1,000 kupata kiloWattHours
1.584, "unit" ya tanesco ni 1 kWh so unit 1.584 kwa masaa 12.
Unaweza kutumia calculator online, ila usiangalie bei maana hazifanani na Tanesco angalia ni kWh ngapi ambayo ndo "unit" ya Tanesco.
Free electricity calculator to estimate electricity usage as well as cost based on the power requirements and usage of appliances.
www.calculator.net