Recent content by king of zemunda2

  1. K

    Dkt. Louis Shika aeleza Magumu aliyopitia hadi akatoroka Urusi. Alitekwa na kukatwa Vidole, Tanzania ilimtelekeza...

    Mm wala si shangai kuna dingi yangu wa Mkubwa aliishi maisha kama ya Dr kwaku changanyikiwa baada ya kuachana na mke wake wa kirusi na kumdhulumu Mali zake zote na aliponea chuchupu Ku uwawa mpaka alipo hamia kanisani na kuishi kwenye hostel za kanisa kwa miaka kadhaa,alirudi tz akiwa na begi LA...
  2. K

    Naomba kufahamu mamlaka ya Afisa mtendaji kata na Afisa Tarafa

    Hawa watu majukumu yao yametofautiana kidogo sana,afisa tarafa yeye no mwajiriwa wa serikali kuu na anakuwepo ktk mamlaka ya DC na ana report kwa dc,yeye ni msimamia Sera ktk level ya tarafa,afisa mtendaji wa kata yeye ni mwajiriwa was serikali za mitaa na anakuwa chini ya mkurugenzi mtendaji,na...
  3. K

    Dada, uliza lolote la msingi kuhusu sisi wanaume, nitakujibu

    Nahisi maungo yetu yapo pouwa ila wadada mambo yao ndo uamekuw makubwa kwakuwa yanatumika sanaaaaaa
  4. K

    CONCERN: Why are all car manufacturers setting up shop in Kenya? Iko wapi Tanzania ya viwanda?

    Tumezidi figisufigisu ndo maana wawekezaji hawataki Ku invest Tanzania,alichofanyiwa dangote unadhani kuna invester atapenda kuwekeza hapa
  5. K

    Series (Special thread)

    Katika hii series mm nampenda sunny jamaa yupo vzri
  6. K

    WAFANYAKAZI BORA MEI MOSI NI JIPU: WENGI HAWAJAKIDHI VIGEZO: NI UPENDELEO TU

    Unaongelea in general au unachuki binafsi na walio pata ktk eneo lako? Chuki binafsi msizilete hapa jamvini mnapoteza Cfa ya jf
  7. K

    Naamini kuna watu wamepitia haya maisha, Kama umepitia haya maisha sema chochote

    Huu Uzi umenikumbusha mvali sana,mm nili danganwa ukifa tz unazaliwa ulaya na unakuwa mzungu,kuna Siku nilisaga betri na kuikoroga na baadae nikainywa nikajifunika blanketi ili nife kwa haraka,nilikaa Siku nzima bila kula mpaka walipo niamsha na kuniuliza kwanini nilikuwa nimelala ndipo nika...
  8. K

    Mwanamke niliyemchukua bar usiku kanifanya vibaya

    Ushauri vitu vyote viandike upande wa matumizi ,kwahiyo wewe umetumia laki 600,000,tablet 1 na cm zako + na bili ulizo lipa
  9. K

    Haya matukio mawili yananifikirisha hadi nahisi kuchanganyikiwa!

    Kabla ya kupatikana kwao inasemekana walichukua na computer lakini ktk story nzima hawajazungumzia hivyo vitu,Roma ni muongo na anatu yeyusha tuu mm kaniboa sana na mm ni mmoja wa funs wake wa ukweli na na delete nyimbo zake zote kwenye pc yng
  10. K

    Haya matukio mawili yananifikirisha hadi nahisi kuchanganyikiwa!

    Mm ni mmoja wawale ambao hawaamini kama Roma alitekwa na story anayo toa ni cooked story ili ajikoshe ndo maana hata hawezi kuangalia camera's, yeye alituambia walifungwa pingu na walipo enda kutupwa huko ununio walifungwa mikono kwa nyuma na mdomo pia,Ila yeye ndo alieweza kujifungua...
  11. K

    Rais Magufuli umeua biashara nchini makusudi na haupendwi kama unavyodhani

    Vivutioa vya wawekezaji vimepotea na walio pewa vivutio vya uwekezaji wamegeuzwa wapiga deal ukiangalia watu kama kina bakhrrsa wamesha hamisha viwanda vyao,kina manji wanafulisiwa kwaajili ya chuki binafsi,hakuna mwrkezaji and akuja kuwekeza labda ibaki kama siasa,MTU anajifanya ana uchungu na...
  12. K

    Kumekucha! Bifu la Watangazaji wa Shilawadu na RC Makonda lafikia patamu na limenoga sasa

    Hiyo bashite alikuwa MTU wao wa karibu sana possible nikweli ananuka mdomo na akivua soksi miguu inanuka,katika maisha siyo kila kila kitu kina hitaji nguvu na madaraka ni dhamana Leo utakuwa nacho na kesho huna,nivyema bashite akae na atambue hata nguvu ya dolla IPO siku itakwisha na atakosa...
  13. K

    Basata mnasubiri nini kumchukulia hatua Ney wa mitego

    Au na wewe ni malinda less nini,wimbo haujamtaja mtu, na kama viongozi wapo wengi iweje useme afungiwe wimbo wake?
  14. K

    Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata kontena lenye magari 3 na Makontena 20 yenye Mchanga wa Madini

    Inatuhusu nn sisi,hiyo ndo tz kipi cha ajabu kwenye hilo???
Back
Top Bottom