Ungenitaka nitoe mfano, ningekuelewa.Ulitaka iweje uwe wewe au?
Acha kuwaza ya wengine husiowajua, kaa chini fikiria mwakani kuwa na wewe watakuita upokee zawadi yako. Wivu wa kutaka wengine washuke ni bomu haisaidii, bora wivu wakitaka kufanya kama unaowatamania walipo nawe ufike.
Haoa kazi tu