Recent content by king mansah

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majanga haya sasa mengine

    Nimeipenda hii mkuu, nikama mlio wa mfuko kufumuliwa au kuoshwa kwenye maji,!!
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya Kitapeli

    Teh , angetafuta mzee mwenzie yasinge tokea,!
  3. K

    JamiiForums Tanzania O-Ten (Philipo Nyandindi), yuko wapi siku hizi?

    Nuruelly nae sijui yupo wapi nimesikia ,
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Navutiwa sana na mwanamke mweusi

    Umenikumbusha mtoto sophia , na matege kidogo na dimples za kutosha , na besi ya kukwaruza,!
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi ananipenda na mimi nampenda sana ila bado hajanitamkia,nimtamkie mimi?

    Csta huyo anakupenda but ipo cku atakutamkia tu,mapenzi ya kweli huanza na urafiki wa kweli kwa kujuana kwa undani , ni wachache sana wenye moyo kama wajamaa ,so be patient time wl come ,ila kama shida yako dushe mwambie tena akipanda tu humuoni tena anakutema mazima, ngonoc kipimo cha kukupenda...
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hebu nisaidieni nini maana ya sentensi hii

    Hapo anamaanisha samaki kutamani chambo kilicho tegwa kwanye ndoano mkuu so once akila chambo hicho humtokea puani,!
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kama unajipenda usikubali kuolewa na mwanaume wa Dar

    Teh, teh , teh , mada za weekend ,
  8. K

    JamiiForums Tanzania Write down your favourite and inspiring quote(s)

    Every person is a victim and has a story to tell,!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Matonya Azidisha Ulevi Hadi Kupoteza Fahamu..

    Ulikua udhaifu wangu sana miaka ya nyuma , may be atajifunza kutoamini watu ,!
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui nianzie wapi?

    Mkuu dhambi ya uzinzi haisameheki huyo kashakua adui yako hashindwi hata kukuua kua nae makini sana endapo atarudi wahenga walisema mwanamke akiwa na hawara hawezi kuacha,nahisi maumivu yako moyoni mwangu,!!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mkaka wa kuchati nae tu anatakiwa

    Ni pm pliiz
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume Werevu na Wasomi waliobobea huoa wanawake wenye Elimu ya wastani?

    Wanawaona wayafanyao hao so called wanawake wasomi wakiwa nao vyuoni,!
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nimeitwa mwehu, mjinga na mpumbavu, huku kunakoitwa kutongoza kunaelekea kunishinda

    Mkuu mbwembwe tu huyo, kila mwanamke anastaili yake ya kumjibu mwanaume at the first time , mwingine hung'ata kucha mwingine haangalia chini, mwingine hucheka tu kama mwehu, mwingine huwa mpole ila mkuu huyo labda ndio staili yake hembu jaribu mchunguza anapenda vitu gani then mpelekee kama...
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Love is weakness, be strong if you want to start

    Pole mkuu, ila maisha lazima yaendelee na utakuja kupenda na kuumia tena, ndio dunia mkuu,
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitaki kuidanganya nafsi yangu, Ronadinho ni bora zaidi ya Messi, CR7 na wengine wote duniani

    Ni kweli ila vp kuhusu jay jay okacha,
Back
Top Bottom