Majanga haya sasa mengine

Majanga haya sasa mengine

mlipie tu kama huna ts beta ukasema huna ci kumkimbia lol
 
Kamaanisha mwenzio,me nilishawahi kuwa na dem kilaza kama huyo!
MY hii mbona inaukakasi sana. umezaa, bado upo nyumbani, huyo ex nakuja kukuenjoy unachekacheka nae khaa!!! kama alikuwa anataka muendelee kwenda club si angekuvuta ndani ili mtoke out huru. hujui kuwa anakudharau sana ndio maana anakwambia mzae tena, amekuona wewe ni wakuzalishwa na kupewa vihela mbuzi, hakyamungu dunia inamambo.
wenzio mtu akikuacha hivo hata kama anamuhudumia mtoto bado unatamani hata utie bisibisi ya tumbo wewe unacheka nae. siamini kama unachosema umemaanisha, utakuwa umetania tu wewe
 
Wewe ni malaya mbwa,huna akili hata kidogo,ningekuwa karibu yako ningekufumua taya zako kwa makofi!Shenzi type.
Umalaya hata wewe ni malaya mwenzangu hujalazimishwa kusoma na huwezi kinipangia chochote cha kuandika shwaini wewe
 
Ulizani ndoa ni kupiganadiki (Kugegedana) pekee,..ndoa ni zaidi ya hapo so kama ulipenda ua penda na boga lake,...namuonea huruma huyo mwanamke aliyezalau nazi wakati embe tunda la msimu.Ni hayo tu...
 
Kweli wanaume mko tofauti mi mwanangu ana 5yrs now tangu ana mwaka mmoja na miezi mitatu anahudumiwa na baba wa kufikia kuanzia kula yake,vaa yake mpaka shule anasomeshwa na baba wa kufikia na baba yake yupo hai na ana kazi nzuri kuliko huyu babaake wa kambo anachojua yeye kutuma hela ya nguo za sikukuu tu na akija dar kumuona mwanae ananirubuni eti tuongeze mtoto wa kike hataki kuzaa na wanawake tofauti anapenda starehe akija ni twende club hela utakayotaka utapata ila akiondoka hakumbuki chochote kuhusu mtoto mi nipo kwetu ila namshukuru sana bwana niliyenae kwa matunzo mazuri ya mwanangu japo sijazaa nae

Umekisoma ulichokiandika lakini?!.Ndo maana wanaume wengi hatupendi kuoa wanawake wenye watoto nyambafu zako.Ametelekez mtoto bado akikuita unaenda na anakurubuni yaani umemfanya anayekusomeshea na kukulelea toto lako lenye 5 years mjinga na aliyekutelekeza akikuita bado unaenda na kumpa nyuchi nyambafu mkubwa we huna hata aibu.
 
yaan inaonyesha wewe ni malaya tu,hicho ndo nin sasa.so what

Kwa nini unaishi na mwanamke aliyezaa wewe.Yaani nilikuona Jembe halafu unatuangusha wanaume wenzako.Achana na huo upuuzi wewe tafuta mwanamke ambaye hajazaa uoe.Huyo mwanamke anakuona poyoyo ndo maana anakubebesha mzigo wote huo.Na kuna uwezekeno mkubwa sana akawa na uhusiano na baba wa huyo mtoto we unaonekana boya tu achana na hiyo takataka.
 
Wewe umejibdiisha mwenyewe kuhudumia kwa nini asikuambie hunahaja ya kusepa mueleze halihalisi akishindwa asepe mwenyewe acha kuonyesha uzaifu
 
Back
Top Bottom