Mapenzi ya Kitapeli

Mapenzi ya Kitapeli

duuuuh pole yake huyo mama hii ina apply kote si kwa wamama tu tuwe makini na wapenzi wapya
 
duuuuh pole yake huyo mama hii ina apply kote si kwa wamama tu tuwe makini na wapenzi wapya

Ni kweli wapenzi wapya tuwe nao makini mno tena wale wakija ofisini kwako wakakukuta uko fresh wakutoe lunch shituka sio bure
 
Duh hatari sana..... Mie aunt yangu alilizwa na ki serengeti boy chake

hana hamu hata kidogo.. Uncle tapeli yule, baada ya kumdhulumu aunt

kaanzisha na kanisa sa hivi analamba sadaka za waumini tu

Hahah, naona kanisa sasa ni dili la haraka la kupigia pesa.
Mtaji wake unatakiwa uwe ka sh ngapi hivi nami nianzishe
 
Yaani familia hizi za kitajiri ni shida watoto kila mtu na hamsini zake hawamuingilii mama yao hata chembe halafu si unajua tena ma vyeo ya jeshi wakawa hawana wasiwasi wowote wanajua yuko fit acha tu

Wana respect privacy ya mama yao, she has a right to be happy; she can date anyone as long she is happy. And now she has a right to be miserable as long as her misery does not affect others. She made her on mess......
Ila inasikitisha sana
 
Umeona na wana hakika mama yao ni kamanda anajielewa
 
pole yake sana duh.. mapenzi yameisha kila mtu yupo after something
 
Bora ajifunje na ajifunje kwa tamaa za kuharibu wana wa mwanamke mwenzie.
 
Maskini weee namuonea huruma huyo mama mwenzie kaishapata mtaji
 
Back
Top Bottom