Ili yote haya yasitokee TZ,inabidi wananchi tujivue gamba, bila hvyo,hawa akina J. K. KIKWETE,ROSTAM,LOWASSA, wataendelea kutupeleka peleka mpaka tuje kujitambua,tutakuwa tumeshafirisiwa kabisaa,heri ya Mkapa mara kumi ingawa nae simuungi mkono kwa kujenga hotel ya nyota 5 south africa, pia...