Nilishasema kuishi Dar ni mateso sana kwenye usafiri juzi nilikuwa huko Goba naendesha mpaka kariakoo asee kimara kuitafuta manzese ni ovyo ovyo ovyo sana SIRUDI TENA 😀
mtoa mada kama ungewai kuendesha gari mpaka moro basi utakuwa unajua
gari inapokuwa kwenye mwendo wa kasi ni rahisi kuacha barabara kama dereva akiyumbisha usukan hata kidogo tu na siyo lazima tairi kupasuka
au mwalimu wako wa VETA ndo alikufundisha hivo.?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.