Acheni hizo warembo mnatubania sana!

Acheni hizo warembo mnatubania sana!

Kho kho khoooooo...
Wabana PM mpooo??? Najua Asprin hajakosea...amesema "nyie ni wabaya eti mna sura kama mbuzi avata tuu zinawabeba"
Na hili kalifanyia uchunguz muda sana...
Tena papuchi zenu zikose huduma muhimu... sasa vipi kwa wanaume wabana pm?

Sijawahi kuona mwanaume kabana PM. Mwanaume kabisaaaa??? Ntajie mmoja nimfanyie uchunguzi....

Lazima atakuwa na uhusiano na Juma Nyosso
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kuona mwanaume kabana PM. Mwanaume kabisaaaa??? Ntajie mmoja nimfanyie uchunguzi....

Lazima atakuwa na uhusiano na Juma Nyosso

Babu Asprin naomba unifundishe kutuma pm, Kaizer ananibaniaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Mnaleta michosho tu hamna ishu, waja pm kuuliza kama nasoma au vepe mfyuuuuuu wataka kunilipia ada teh

Mwingine msg nne zote salamu, anaanza hi,mambo? Habari yako? Isue niaje? Mzima lakini?, sasa unajiuliza huyu mtu daktari? Sijui ni kukosa kazi!!
 
WaPM niwatakie muda mwema PM, naanza kutambaa ktk kuelewa meengi nisiyoyajua bado.
 
Wewe hangaika huko PM ila siku utakayojaribu kumtumia msg faiza Foxy hata ya salamu ndiyo siku nitakayokata hivyo vidole vinavyohangaika.
 
Last edited by a moderator:
Mwingine msg nne zote salamu, anaanza hi,mambo? Habari yako? Isue niaje? Mzima lakini?, sasa unajiuliza huyu mtu daktari? Sijui ni kukosa kazi!!

Dah! Kwani ungeniambia mwenyewe ingekuwaje? Kwa nini uyalete huku?
 
Mwingine msg nne zote salamu, anaanza hi,mambo? Habari yako? Isue niaje? Mzima lakini?, sasa unajiuliza huyu mtu daktari? Sijui ni kukosa kazi!!

Anaanza mambo wamjibu poa, anarudi tena ishu vipi wamjibu tena fresh, hachoki mishe zinaendaje agrrrr qummmamae hv tupo jukwaa la salamu au
 
Back
Top Bottom