Recent content by King Castory V

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwa ambaye bado anasumbuliwa kuona matokeo ya kidato cha nne

    Sorry nitumie link yake ninashuda nayo sana
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kujiunga na kidato cha tano kama private condidate

    Find me on. 0763732290 Mimi pia ni mwalimu mzoefu nafundisha Qt, PC na frm 6. @ mwaka mmoja mmoja
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa anaesoma arusha institute of accountancy

    Mi sisomi hapo but naish jirani na hapo
  4. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ndugu zangu, nina diploma ya Nursing

    Pouwa ndgu nashukur
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ndugu zangu, nina diploma ya Nursing

    Sijakuelew kaka
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ndugu zangu, nina diploma ya Nursing

    Ninacheti ndugu, nimesoma sijaghushi, hata now nipo nimeajiliwa some were but due some un avoided reasons natafuta Shemu nyingine
  7. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ndugu zangu, nina diploma ya Nursing

    Yap lesen ninayo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu

    Pouwa ndgu nakuombea upate coz vimbweta vya mdegree, magazetini, peasant tunasugua haswa, mi nipo 2 year now
  9. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ndugu zangu, nina diploma ya Nursing

    Ndugu zangu Mimi ni msichana,nimesomea masuala ya afya au nursing, elimu yangu ni ngazi ya diploma, pia coz ya TFDA pia nimepitia ambayo ni muhimu sana, natafuta kazi iwe kufanyia dispensary, hospital in I au kuuza duka LA dawa baridi za binadamu nipo tayari kwa sasa nipo morogoro kuna kituo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Anza na Kusaini Hati za Wote Waliohukumiwa Kifo, Wanyongwe Haraka Haraka Mpaka..

    Samehe saba Mara sabini wala hutopungukiwa kitu mwilini mwako au utajiri wako kupungua
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wadau; kafutiwa matokeo, je ataruhusiwa kurudia kidato cha tatu?

    Maranyingi huwa wanatoa masharti either huruhusiw fany mtihan kwa muda wa miaka miwil mbele, but mwone mkuu wake wa shule, au wapigie baraza
  12. K

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Nenda afya kaanze na certificate, ukikosa chuo ntafute 0763732290
  13. K

    JamiiForums Tanzania Akasomee nini kizuri kwa ngazi ya cheti?

    Hata vya serikali pia vipo, but anatakiwa kuwa makini soon watakapo fungua usajiri nafikir mwez wa tatu, mwez wa sita majibu wanatoa mwez wa saba had wa nane ndo muda wa chuo
  14. K

    JamiiForums Tanzania Akasomee nini kizuri kwa ngazi ya cheti?

    OK sina uhakika kama uhasibu itafaaa, but aende uuguzi tu ndo soko LA ajira liliko, nowadays ualimu wanazingua especially ukianzia level ya certificate,
  15. K

    JamiiForums Tanzania Akasomee nini kizuri kwa ngazi ya cheti?

    Hesabu anangap?
Back
Top Bottom