Natafuta kazi ya ualimu

Hebu achana na taaluma yako,tumia fursa za viwanda ,au kilimo cha umwagiliaji,utawin sana,wenye taaluma yako wako wengi sana Hapo ni sawa na kufukuza upepo,ni ushauri wangu kwako,fursa ziko kama hizo
 
Hebu achana na taaluma yako,tumia fursa za viwanda ,au kilimo cha umwagiliaji,utawin sana,wenye taaluma yako wako wengi sana Hapo ni sawa na kufukuza upepo,ni ushauri wangu kwako,fursa ziko kama hizo
Mtaji...?
 
Mtaji...?
Ukiwa sifa hizi,utafanikiwa sana,risk taker,optimistic,gregarious, dedicated, grateful, leader by example,start small aim higher, nimefanya research kwa takribani Miaka miwili,nikaona kwa kijana ambaye hana kitu kabisa lakini ana wazo la biashara endelevu access bank Tanzania ,ni sahihi unapata mkopo bila masharit magumu amount ni kuanzaia 100000 mpka 25 millions,
 
Mnajaza saver tu humu!
Jf haitoki kazi, ingia shamba kalime ata tikiti utatoka
 
Ukiwa sifa hizi,utafanikiwa sana,risk taker,optimistic,gregarious, dedicated, grateful, leader by example,start small aim higher, nimefanya research kwa takribani Miaka miwili,nikaona kwa kijana ambaye hana kitu kabisa lakini ana wazo la biashara endelevu access bank Tanzania ,ni sahihi unapata mkopo bila masharit magumu amount ni kuanzaia 100000 mpka 25 millions,
Access bank how?
 
Jf nisaidieni huko popote ulipo ukisikia habari za kazi unaweza niunganisha pia
Hali imekua ngumu kweli
 
Habari za mwaka mpya Jf!

Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu UDSM-DUCE Mwaka 2016. Nilisoma Bachelor degree of art with education, nikispecialize katika masomo ya Historia na political science and public administration, hivyo basi nina uwezo hakika wa kufundisha masomo ya history, civic, na general studies kwa A level
.hivyo basi naomba kwa wahusika waweze kunipa nafasi!

Kwasasa nipo babati, hivyo basi kwa kazi yoyote inayopatikana Arusha, manyara, na singida zlte ninauwezk wa kufanya na kuzifikia kwa urahisi pia!

Happy new year JF
Pouwa ndgu nakuombea upate coz vimbweta vya mdegree, magazetini, peasant tunasugua haswa, mi nipo 2 year now
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom