Natafuta kazi ndugu zangu, nina diploma ya Nursing

Jan 16, 2017
33
12
Ndugu zangu Mimi ni msichana,nimesomea masuala ya afya au nursing, elimu yangu ni ngazi ya diploma, pia coz ya TFDA pia nimepitia ambayo ni muhimu sana, natafuta kazi iwe kufanyia dispensary, hospital in I au kuuza duka LA dawa baridi za binadamu nipo tayari kwa sasa nipo morogoro kuna kituo nafanyia, ujuzi ninao kwa miaka miwili tangu niajiriliwe. Ndgu zangu ma dear brothers and sisters naombeni msada wenu.
Maisha ni kusaidiana!!!! My contact no.0625759441
 
Wewe ni REGISTERED NURSE? Au nesi wa mtaaani wa kugushi

Kama ni registered nurse kuna ajira kazi ya research inahitaji manesi 46 ifakara health institute
 
Nnakupa ushauri, uzingatie.

Wachana na kutafuta kazi. Anzisha "Private Home Nursing". Kuna wengi sana wanahitaji huduma kama yako majumbani na hawajuwi waipate wapi.

Tangaza mitandaoni kuwa unatoa huduma za nursing majumbani, anzia hapa hapa JF kwenye matangazo madogo, nenda FB na twitter fanya hivyo hivyo, itabidi ujipange kwani kwa muda mfupi sana itabidi uajiri ma nurse wengine wa kukusaidia.

Jipange uwe kweli na muaminifu na uifanye kazi yako kwa kuipenda na si kwa dhiki.

Hutatafuta ajira ya kuajiriwa tena.

Utanikumbuka.
 
Kama utaweza nenda physically kwenye ofis ya matron KCMC au kama kuna mtu wa kukusaidia kufikisha aplication yako moja kwa moja ofisin unaweza ukafanikiwa
 
Ndugu zangu Mimi ni msichana,nimesomea masuala ya afya au nursing, elimu yangu ni ngazi ya diploma, pia coz ya TFDA pia nimepitia ambayo ni muhimu sana, natafuta kazi iwe kufanyia dispensary, hospital in I au kuuza duka LA dawa baridi za binadamu nipo tayari kwa sasa nipo morogoro kuna kituo nafanyia, ujuzi ninao kwa miaka miwili tangu niajiriliwe. Ndgu zangu ma dear brothers and sisters naombeni msada wenu.
Maisha ni kusaidiana!!!! My contact no.0625759441
Pitia hapa kuna hili tangazo la kazi, kila la heri 60 Vacancies at Ifakara Health Institute (IHI) - Kijiwe Cha Wasomi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom