Nisaidieni wadau; kafutiwa matokeo, je ataruhusiwa kurudia kidato cha tatu?

shemshashu

Member
Jan 14, 2017
40
29
Nina kijana kafutiwa matokeo, je ni njia gani anaweza kutumia kurudia shule?

Je anaweza kuruhusiwa kurudia kidato cha 3? Naomba uzoefu wenu wadau
 
Ninakijana kafutiwa matokeo je ninjiagani anaweza tumia kurudia shule je anaweza ruhusiwa kurudia kidato cha 3 naomba uzoefu wenu wadau
Maranyingi huwa wanatoa masharti either huruhusiw fany mtihan kwa muda wa miaka miwil mbele, but mwone mkuu wake wa shule, au wapigie baraza
 
Nashukuru wadau kwa ushauri wenu nimewapigia baraza wamesema anaruhusiwa kurisiti kama kawaida.
 
Back
Top Bottom