Recent content by kindungwa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania yetu imejaa watu wanafiki, wazandiki na waongo

    Sio kweli..,kwenye bible waliosema mbarikiwa walikuwa ni miongoni mwa wanafunzi na wafuasi walioamini mafundisho yake...waliosema asulubishwe ni wale walioamini katika torati ya Musa(Moses)... Usilete mifano isiyohusika mahala
  2. K

    JamiiForums Tanzania CCM kwa nini kanda ya kaskazini mmepotwza majimbo mengi?

    Jibu ni rahisi tu...watu wa kaskazini wanajielewa na wanakaribia kuifuta kabisa chama la milembe Dodoma
  3. K

    JamiiForums Tanzania Chuo cha diploma kwa shule za msingi(diploma in primary school)

    Habari, Mimi ni mwl. Wa primary nipo Dar nahitaji msaada wenu wadau...hivi ni chuo kipi cha binafsi(private) kinatoa diploma ya ualimu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Mengi Ashtushwa na taarifa za kuiangusha serikali ya Kikwete

    `Tunataka atambue na aelewe damu iliyopotea ndani ya chama hiki,a simple as that...tunakaa tukipanga usiku na mchana jinsi ya kuchukua dola mwenzetu asubuhi anapeleka information zetu usalama wa taifa halafu mnasema tukae tumzungumzie Zitto...Zito ni kama demu kwa kweli mnafiki kabisa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

    Tatizo la wengi wetu hapa jamvin ni kuwa na usahaulifu...nadhani tunakumbuka mwanzoni mwa usaliti wa Zitto,viongozi walimtumia kama shushushu kumchunguza Zitto na uchunguzi ulipokamilika aliwasilisha makao makuu,sasa usishangae haya yanayoibuka leo bado ni muendelezo wa ushushushu wake na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

    Duuh kaka ulitabiri....
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kusaga: Clouds FM haina chama! Akanusha Clouds kununuliwa na Rostam Aziz

    Ha ha ha mbavu zanguu...Duuh kumbe lijamaa linatokwa povu hapa then linaenda kuhemea kwa mama wa Same...ha ha ha
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kusaga: Clouds FM haina chama! Akanusha Clouds kununuliwa na Rostam Aziz

    Anamaanisha waliwahi mfanyia le professel bday...kwa nini isiwe kwa Lema...??!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kilele cha Kejeli: Kikwete Umenikwaza... "Barua ya Mkosaji"

    Na huyu eti great thinker....hebu soma tena mwanakijiji alichoandka hamaanishi unachofikiri....una harakia nini sasa
  10. K

    JamiiForums Tanzania JK Nyerere alipozindua soko kuu la Kariakoo

    NimemuelewA vizuri mleta mada kwa sababu hata mm amenifungua nilikuwa sifaham hata soko la kariakoo lilifunguliwa lini.....ila ww buchanan unajitoa faham kutaka kudissapoint mada lakin jamaa kaeleweka
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ndani ya Dakika 45 leo saa 3 usiku

    Kipindi chochote cha siasa lazima kirushwe live...hivi dunia ya sasa unarecord kipindi kama cha siasa je bongofleva wafanyeje?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Dr.Slaa..
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mengi: Natishwa

    Ha ha ha kweli kwenye mafanikio hapakosi adui Inaonyesha kama kuna watu wametumwa hapa kuja kumchafua huyu mzee..
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba za wasanii wetu

    Hapana mkuu hiyo ya prf. J ipo ukishapita stand mpya ya mbez kama unaelekea kibaha..ni sahihi ndiyo yenyewe
Back
Top Bottom