Kila uchaguzi mkuu unapofanyika CCM inazidi kupoteza majimbo mengi zaidi ukilinganisha kanda zingine.Uchaguzi wa mwaka huu mmevunja rekodi ya kupoteza majimbo kuliko chaguzi zingine zilizofanyika.Mmewakosea nini watu wa Kaskazini?Hamjui mahitaji yao?Hamna ushawishi?Kuna maswali mengi ya kujiuliza.CCM mmewatendea jambo gani baya watu wa Kaskazini?Je wananchi wa maeneo hayo hawaoni kazi zinazofanywa na serikali iliyoundwa na CCM?