Recent content by kindocharuwa

  1. K

    Lukuvi ageuka "lulu" Bungeni leo

    huo ndiyo unafiki wa watanzania!!!! unampimaje mtu kwa kipindi cha miezi sita ilihali migogoro ya ardhi bado ni shida katika nchi hii!!!!!!:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
  2. K

    Joseph Mbilinyi (Sugu), ni noma

    mjinga ni wewe uliyesoma na kuweka comment ya kijinga!!!! unamuitaje mtu aliyeweza kuwashawishi watu wakampigia kura na kuingia bungeni kuwawakilisha watu wa mbeya kuwa ni mjinga ilihali wewe hata kuwa kiongozi kwenye familia yenu hujawahi!!!!!!!!
  3. K

    Lowassa: Nimeshawishika, Nitagombea urais...!

    ndani ya ccm sioni zidi yake, ila nje ya ccm namuona dr slaa akifit kwenye kiti
  4. K

    Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

    unaitwa wakili msomi kwasababu ya kujua na kutambua kila jamab kiundani. baada ya mtu kuapishwa na kuwa kamishna wa viapo na kwa maana hiyo anakuwa ni mtu mwenye uwezo wa kukuapisha kwenye jambo lolote pale unapohitaji kiapo. na ndiyo maana baad ya kupata degree ya kwanza ya sheria mtu unaitwa...
  5. K

    Wanaigunga wakumbuka Zitto alivyowaombea CCM kura gizani

    huyu anapotea kama wengine walivyopotea.
  6. K

    Wanaigunga wakumbuka Zitto alivyowaombea CCM kura gizani

    hata siku moja huwezi kuwa juu ya taasisi!!!! kabwe amepoteza mvuto na ndiyo safari yake ya kufa au kuanza upya.
  7. K

    Mapapa 560 wa Madawa ya Kulevya watajwa. Wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz

    my wrry ni kwamba before big fish hawajatajwa something can happen to mwakyembe!! god protect him
  8. K

    Urais 2015 umuhimu wa kuchagua chama na sio rais

    uko sawa lakini isutimike kama sababu ya kufanya au kuzui mgombea binafsi kuingizwa kwenye katiba mpya. katiba inyotengenezwa siyo kwa madhumuni au kwa lengo la kusimamia na kuongoza uchaguzi wa 2015 bali ni katiba ya kusimamia maisha ya watanzania hata kwa miaka elfu kumi ijayo!! kwahiyo suala...
  9. K

    Waziri Profesa Sospeter Muhongo: Punguzeni siasa wananchi wa Arusha nchi bado maskini

    hii kauli ya huyu mmjomba imekaa kichama na siyo kiserikali. kweli kuna haja ya kuwatazama upya hawa watu wanaoitwa mawzairi hasa upatikanaji wao!!! tufike mahali waziri awe anafanya apllication kabisa kama anataka kuongoza wizara fulani coz utendaji wao unatia mashaka!!! jamaaa ameongea pumba sana.
  10. K

    Nape: Dr. Slaa anaiua CHADEMA

    sasa natambua kwanini chama cha mapinduzi kimekupa hiyo nafasi kijana mwenzetu!! kumbe nafasi hiyo inatumikiwa na watu wenye majungu fitina na wasiokuwa na weledi wa kuelezea mambo! naomba nikupe tahadhari kuwa kumtoa baba mwenye nyumba nje ya nyumba yake siyo jambo la siku moja unaanza...
  11. K

    Mhe. Zitto kushindwa kutaja majina ya waficha fedha Uswiss kama alivyoahidi ni woga?

    anachofanya mh Zitto ni propaganda, me nadhani asipokuwa makini atapotea kisiasa na kuhamia kwenye chama ambacho anafanana nacho. huwezi kuwaambia watu kwamba unafaham majina ya watu walioficha pesa uswis halafu usitaje!! hapa inabidi jamaa asimamie kauli yake vinginevyo itamgharimu kisiasa...
  12. K

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    ingawa ntakuwa nimechelewa kutoa mchango wangu ila naomba niutoe tu jamani!! kwanza kabisa mh, Zitto kiumri hatakuwa amefikisha umri wakumruhusu kugombea urais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania kwa mujibu wa katiba ya nchi. na sidhani kama kuna haja ya kufikiria kusimamishwa yeye kupeperusha...
  13. K

    hukumu ya lema tutegemee nini baada ya pingamizi kutupiliwa mbali?

    hukumu ya aliyekuwa mbunge na anayeendelea na ubunge wake nje ya jimbo bwana Godbless Lema leo imetolewa maamuzi katika pingamizi lilokuwa limewekwa na upande wa pili. waheshimiwa majaji wa mahakama ya rufani wametupilia mbali pingamizi hilo na kwenda kwenye kesi ya msingi. je baada ya pingamizi...
  14. K

    Haya ndio majibu ya Mh. Zitto ya kukosekana kwenye m4c

    siyo kweli kwamba majembe yote ya chama yapo kweny mikutano ya m4c, wote wakienda kwenye mikutano ya m4c majukumu mengine ya chama yatatekelezwa na kina nani jamani. lazima kuwe na mgawanyiko wa kazi ndugu zangu. after raw kamanda zitto ni mtu wa takwimi na siyo mzuri kwenye siasa za majukwaani!!!!
Back
Top Bottom