Lukuvi ageuka "lulu" Bungeni leo

Lukuvi ageuka "lulu" Bungeni leo

Una uhakika na unalosema?!!! utakuja niambia kama nawe ni mhanga ngoja utakapoona umekabidhiwa hati miliki ya ardhi yako, ndio useme hayo unayosema. Nadhani wanasheria wengi wameshalizungumzia sana. Huu ni mwaka wa uchaguzi hata ukitaka kuchunga mbuzi mitaa ya posta kwa sasa ni ruksa tu, utaambiwa anajitafutia riziki. ngoja baada ya oct.

ww lukuvi ni mbunge wangu jimbo la ismani iringa, najua utendaji wake, ukienda jimboni kwake wananchi wamekata hatimiliki za kimila. sisi familia yetu tumekata hati miliki pori la uridhi la hekari zaidi ya 80, kwa gharama nafuu. alisha aza kulinda ardhi ya wananchi wake hata kabla hajapewa uwaziri wa ardhi.
 
Nimefarijika sana kusikia kuwa jana katika bunge la budget Lukuvi ameshangiliwa na kambi zote CCM na UKAWA kwa jinsi anavyosimamia Wizara ya Ardhi kufikia matarajio ya wananchi wengi kuinua kipato na kulimda raslimali ardhi ya taifa.

My take: Si kila Prof au Dr anafaa kids kuwa kiongozi mzuri.
 
Tibaijuka amejishushia sana heshima yake. Sijui huko UN alikuwa anafanyaje kazi.
 
na yey anatangaza lin nia? Maana kama vile mleta post unamtengenezea huyo mla bobi kukubalika hapa jf

hana elimu...hana sifa ya kuwa rais wa nchi hii, elimu yake ni ya drs vii wakati mgombea urais anapaswa walau awe na shahada.
 
Salary Slip

Kwa kweli Lukuvi pamoja na kutokuwa msomi amekuwa akitumia common sense kutatua matatixo yaliyo dhahiri.

Pale amepita hata Profesa Nama Tibaijuka lakini ameiendesha wizara kiufisadi.
Siri ni kutokuwa na tamaa!
Kwa wanaKigamboni ni ahueni kubwa sana maana walikuwa wanaishi kwa sintofahamu kubwa sana kuhusu ardhi yao. Tibaijuka alikuwa amejigeuza dalali wa ardhi. kazi yake kwa kweli ilikuwa ni kutafuta wahindi na kuja kuthamini ardhi za watu bila makubaliano. Yule mama ni fisadi mkubwa ndio maana alikuwa hawaelewani na Dr. Ndungulile MP wa Kigamboni aliyekuwa anajitahidi kugombelzea wananchi wake.

Kuna siku watu wakubwa tu toka wizarani wakaja na fomu feki kuwathaminisha watu pale Uvumba, hata walivyopelekwa kwa Tibaijuka baada ya kushitukiwa hakuna hatua aliyowachukulia. Inaonekana Tibaijuka aliwatuma. Tibaijuka aliunda KDA bila maridhiano na wananchi ukiondoa wale madiwani wa Vijibweni Methew Selemani alinayejidanganya anaenda ubunge Mtama wakati Membe kamkabidhi Nape, diwani wa Ferry ndugu Doto, na wa Mjimwema na wa Kibada, ambao Tibaijuka alikuwa amawanunua na alikuwa anawatumia vibaya eti ndio wawakilishi wa wenye ardhi Kigamboni.

Tibaijuka aliipa KDA mamlaka ya kutwaa ardhi yeyete Kigamboni kwa bei ya kutupwa na kuiuza kwa faida kubwa. Nimefurahi sana alivyozomewa jana Mshamba lakini kuonyesha how sadist she is, alitoa majibu ya kifedhuli sana. A true color of wicked profesa Tibaijuka. Wacha wanaKigamboni wampongeza Lukuvi maana ame-release tension walizokuwa nazo kwa takriban miaka minane.
 
ww lukuvi ni mbunge wangu jimbo la ismani iringa, najua utendaji wake, ukienda jimboni kwake wananchi wamekata hatimiliki za kimila. sisi familia yetu tumekata hati miliki pori la uridhi la hekari zaidi ya 80, kwa gharama nafuu. alisha aza kulinda ardhi ya wananchi wake hata kabla hajapewa uwaziri wa ardhi.

Heeee!! ws naye umedandia gari kwa mbele!! inaonekana umekurupuka tu, ndio maana unaletahabari za mapolini, hapa tunazungumzia mradi wa uendelezaji wa mji wa kigamboni, ambao umeleta shida sana, nadhani hata Mbunge wao ni ccm, lakini ilifikia kipindi alitolewa bungenikwa amri ya spika!!,

Muulize mama tibaijuka, Watu tunaongelea mambo mazito ya kigamboni we unaleta habari ha mapolini huko!! kama hujui inshu ya kigamboni kaa kimya. hakuna ambaye ana kataa kuwa lukuvi kwa muda huu mfupi aliokaa kwenye wizara hii ameonyesha ufanisi mkubwa,sana, ila kwa hii inshu ya kigamboni ni kubwa sana, ndio maana nikatoa angalizo lile, isije ikawa ni mambo ya uchaguzi tu, changia hoja unayoijua angalau kidogo ili usiitwe mzee wa KUKULUPUKA.
 
Kwa wanaKigamboni ni ahueni kubwa sana maana walikuwa wanaishi kwa sintofahamu kubwa sana kuhusu ardhi yao. Tibaijuka alikuwa amejigeuza dalali wa ardhi. kazi yake kwa kweli ilikuwa ni kutafuta wahindi na kuja kuthamini ardhi za watu bila makubaliano. Yule mama ni fisadi mkubwa ndio maana alikuwa hawaelewani na Dr. Ndungulile MP wa Kigamboni aliyekuwa anajitahidi kugombelzea wananchi wake. Kuna siku watu wakubwa tu toka wizarani wakaja na fomu feki kuwathaminisha watu pale Uvumba, hata walivyopelekwa kwa Tibaijuka baada ya kushitukiwa hakuna hatua aliyowachukulia. Inaonekana Tibaijuka aliwatuma. Tibaijuka aliunda KDA bila maridhiano na wananchi ukiondoa wale madiwani wa Vijibweni Methew Selemani alinayejidanganya anaenda ubunge Mtama wakati Membe kamkabidhi Nape, diwani wa Ferry ndugu Doto, na wa Mjimwema na wa Kibada, ambao Tibaijuka alikuwa amawanunua na alikuwa anawatumia vibaya eti ndio wawakilishi wa wenye ardhi Kigamboni. Tibaijuka aliipa KDA mamlaka ya kutwaa ardhi yeyete Kigamboni kwa bei ya kutupwa na kuiuza kwa faida kubwa. Nimefurahi sana alivyozomewa jana Mshamba lakini kuonyesha how sadist she is, alitoa majibu ya kifedhuli sana. A true color of wicked profesa Tibaijuka. Wacha wanaKigamboni wampongeza Lukuvi maana ame-release tension walizokuwa nazo kwa takriban miaka minane.
Mkuu Mungu si Asumani.
Uaimu unalipwa hapa hapa duniani.
 
Salary Slip

nilitegemea kusikia waliomsifia ni wabunge wenye impact ktk jamii,kumbe unataja wale wale wasiojua walichotumwa kwenda kufanya bungeni?
 
Last edited by a moderator:
Nilivyo soma title nikajua kawa yule demu, wa KANU.MBER
 
Salary Slip

kilemba cha ukoka ,chama cha ccm hakina pa kushika wanapoona mmoja wao kakubalika wote huhamia humo,hili ni tatizo lao wanajibeba na sifa zisizo na tija kwa wananchi ni kura tu zinahitajika hapo si kitu kingine ni mpango kazi wa ushindi.
 
Last edited by a moderator:
Hivi ni kweli Kigamboni hamna tena ile project?

ndo hivo tena , mbwembwe zote zile, ni zero...huo mji utakamilika 2050...watu hawawezi kuachia maeneo kirahisi hata Kariakoo bado kuna nyumba za Tembe kwa sababu wenye nazo bado wanasubiri dau lipande......
 
Heeee!! ws naye umedandia gari kwa mbele!! inaonekana umekurupuka tu, ndio maana unaletahabari za mapolini, hapa tunazungumzia mradi wa uendelezaji wa mji wa kigamboni, ambao umeleta shida sana, nadhani hata Mbunge wao ni ccm, lakini ilifikia kipindi alitolewa bungenikwa amri ya spika!!, Muulize mama tibaijuka, Watu tunaongelea mambo mazito ya kigamboni we unaleta habari ha mapolini huko!! kama hujui inshu ya kigamboni kaa kimya. hakuna ambaye ana kataa kuwa lukuvi kwa muda huu mfupi aliokaa kwenye wizara hii ameonyesha ufanisi mkubwa,sana, ila kwa hii inshu ya kigamboni ni kubwa sana, ndio maana nikatoa angalizo lile, isije ikawa ni mambo ya uchaguzi tu, changia hoja unayoijua angalau kidogo ili usiitwe mzee wa KUKULUPUKA.

mtake radhi white wizard, hapa hoja ni sifa alizopewa lukuvi so kila mmoja anajaribu kuchangia kile alichokiona kimefanywa na lukuvi, so wewe ndo umekurupuka
 
huo ndiyo unafiki wa watanzania!!!! unampimaje mtu kwa kipindi cha miezi sita ilihali migogoro ya ardhi bado ni shida katika nchi hii!!!!!!:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Huyo lukuvi wamchunguze anamtindo wa kuhonga wabunge wizara zake zipite kilaini
Hata ubunge wake 2010 alihonga akapita bila kupigwa
Miezi sita amekaa hapo wizarani amefanya nini cha maana?
Mi naona ni siasa nyepesi tu anatuletea karne hiii

Bavicha kama una ushahidi wa Lukuvi kuhonga wabunge weka hadharani ushahidi au mpe Mdee....acha maneno ya vijiweni!
Unataka wachunguze jambo ambalo halipo?
 
mtake radhi white wizard, hapa hoja ni sifa alizopewa lukuvi so kila mmoja anajaribu kuchangia kile alichokiona kimefanywa na lukuvi, so wewe ndo umekurupuka
mimi nimezungumzia suala la kigamboni, juu ya kama kweli wameamua hivyo wawape hati miliki, yeye analeta habari za mapoli!! kwani kuna wanasheria walishatoa angalizo, hili suala la kigamboni liko kwenye GN, kulibatirisha lazima ufuate utaratibu huohuo na si ki siasa.
 
Kazi ngani hizo nzuri alizofanya Mh. Lukuvi. Tunaombwa kujuzwa.

Lakini huyu si alishatangaza kuwa 2015 yeye ubunge basi tena.

Ina maana anapingana na Tibaijuka a.k.a. Mama wa ela za mboga katika PROJECT ya Kigamboni? Kwani alikuwa wapi asimshauri Tibaijuka kuachana nayo walipokuwa wakilutana katika vikao vya BARAZA LA MAWAZIRI?
 
ok..ila kwa prof nliona kama hoja yake ina mantiki hvi ni m tz gani angeweza awekeze bilioni 200 rehani kwenye utafiti tu wa gesi huku hajajua outcome yake?...pia huyu alifuatilia sana swala la umeme vijijini alivyotolewa tu likasimama

Correction. REA haikuanzishwa na Muhongo. Nani kasema imesimama? Inaendelea kama kawaida kusambaza umeme vijijini.
 
Back
Top Bottom