Recent content by kinchuraria

  1. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania haina dini

    Jeshi la wokovu na tawi lake liko pale kurasini na wanatumia kodi za wananchi wote wakiwemo wa dini nyinginezo kulinufaisha kanisa na mfumo kristo
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msanii Spoop Dog Dog Akutana na Rais Obama

    JK akisimama na msanii/akiwakaribisha wasanii ikulu..mnamtukana na kumuita kiongozi msanii lakini kwa huyu anaonekana ni sifa na mnamsifia,..ulimbukeni!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

    Hakuna hata sababu ya msingi uliyoianisha hapo,.. tukubali kuwa na ubalozi wa israel kwa sababu tu watufundishe kulima nyanya!? mara unajichanganya mwenyewe na mgogoro wa palestina oohh watu wanaipinga israel we ulitakaje sasa? na huo ubalozi ukiwepo itasaidiaje wasipingwe kama wanakosea...
  4. K

    JamiiForums Tanzania vurugu zatokea katika kanisa la moravian la kinondon msisiri b na kusababisha polisi wa kutukuliza g

    Dah hawa watakua magaidi/siasa kali wa kikristo!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Swala Tano na Walokole mnazingua maofisini

    Sasa na wewe unavyoshinda humu jamii forum unajifanya uko busy kwenye comp.unafanya kazi kumbe unapiga umbea ktk mitandao hao watu wa dini watakwenda kukusemea wapi?malizeni mambo yenu huko si kila kitu ulete ktk mitandao.sasa wao watapa wapi nafasi ya kujitetea?tutajuaje kama unawachafua tu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Mh. Makamba kabla hujagombea urais, tuwekane sawa juu ya gharama hizi

    kwa nini usiende kuandika kwenye page yake ya facebook au twiter kwa nini huku ambako hayupo?unategemea akanushe vp? tumia akili japo kidogo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Mh. Makamba kabla hujagombea urais, tuwekane sawa juu ya gharama hizi

    sasa wewe umeandika nini?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nchi za Kiislam Ziko Vitani, Tujihadhari

    Ucrain, North Uganda(Joseph konny-anapigania sheria za kikristo), South Sudan(wakristo wenyewe), Congo kinshasa, Rwanda,south korea...na nyengine nyingi hizo nazo ni nchi za kiislam??? jaribu kutafakari.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

    Acha uongo wewe unajadili kitu usichokijua,hiyo 3:110 haizungumzii hicho unachokisema, then sawa waislamu walishindwa kusoma ktk shule za zilizoko chini ya kanisa unachotakiwa kujua ni: hayo ni mazingira yaliandaliwa makusudi ili kuwanyima elimu baadhi ya watanzania wa dini nyengine Shule...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Mengi na Prof. Muhongo nani msuluhishi?

    Sio kweli mengi ni mtu mwenye tamaa sana inasemekana hata wafanyakazi wake wengi wao ni vibarua tu hawaajiriwi yeye mwenyewe ni dhulumati halafu utamwona anaandaa pilau na kuwakusanya walemavu ili aonekane ni mwema sana.....Kinachomsaidia mengi ni vyombo vyake vya habari na amejipenyeza mahala...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

    Kwa taarifa yako Hakuna mtu anaemuabudu Muhammad kama ilivyo wakristo wanamuabudu Yesu na kumuita mungu aliyepigwa na kutundikwa msalabani na wafuasi wake mwenyewe, Mungu wa waislam(Allah) ambae ni mmoja tu na hana mshirika na kitu chochote ndiye aliyemuumba muhammad, na viumbe wengine wote na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe macho na uvaaji wa kininja maofisini

    rudia tena kusoma nilichoandika utaelewa..
  13. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe macho na uvaaji wa kininja maofisini

    angalia hiyo video hapo chini utaendelea kupata elimu zaidi na huenda ukatoka ktk giza
  14. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe macho na uvaaji wa kininja maofisini

    Hayo ni mawazo yako lakini sisi waislam kwa mujibu wa dini yetu uislam ndio culture yetu na hiyo ni pamija na mavazi ya heshima na matakatifu, ni kweli kuna baadhi ya mavazi asili yake ni middle east lakini hayo ndio yaliyobarikiwa tayari na mungu kuwa ndio mavazi matakatifu hata ktk hiyo bible...
Back
Top Bottom