Nchi za Kiislam Ziko Vitani, Tujihadhari

Nchi za Kiislam Ziko Vitani, Tujihadhari

Status
Not open for further replies.
Na vita vya Rwanda vya wenyewe kwa wenyewe vimesababibishwa na Ukirsto wao?
Vita vya Rwanda vilisababishwa na ukabila baina ya wahutu na watusi na siyo udini!!
 
Ucrain, North Uganda(Joseph konny-anapigania sheria za kikristo), South Sudan(wakristo wenyewe), Congo kinshasa, Rwanda,south korea...na nyengine nyingi hizo nazo ni nchi za kiislam??? jaribu kutafakari.
 
Hizo vita zinazoendelea katika hizo nchi za kiislamu zimesababishwa na nchi za kikristo.

Mfano.

1.USA na washirika wake walideploy majeshi miaka kadhaa iliyopita na kuyapeleka iraq na middle east kwa kigezo kwamba kuna weapons of mass destruction kitu ambacho hadi leo wamekosa kukipa backup ya ushahid.

Wakazivamia nchi zile kumbe nia ni kuiba mafuta mwshowe wamepandika makundi yanayogombana yenyewe kwa wenyeewe na kuacha political instability kama ile.

2.Wakaenda libya nchi ambayo ilikua politically stable na kuivamia kwa kigezo kile kile cha uongo ili mradi waibe mafuta and yes they did.

Nato na washirika wake ambao ni nchi za kikikristo wakaivamia nchi ile our sister african country and guess what hakukaliki kule hao wote wakristo wamesababisha hivyo.

3.Wakaona hiyo haitoshi wakaunda group kama boko haram under CIA kisha wakaipa jina lao na kulinasibisha na uislam kisha wakalidump nigeria kwa sababu zile zile za oil.

Kumbuka huko ndiko kwenye utajir wa mafuta ili mradi tu wafanikiwe nia yao ili kutimiza malengo yao baadae waache political instability km kawaida yao.

Aibu sasa imeanza kuwashika baada ya watu wenye akili kuanza kugundua fitna zao.

Zipo ncho nyingi tu zenye waislam na kuna aman tu.

Infact uislam upo dunian kote iweje tusiskie vurugu sehemu kama Makkah ambako ndiko center ya kukutana waislam worldwide every year??

Acheni mambo yenu ya kutaka kuuchafua uislam.

Ulikuepo utawepo na utazid kuendelea kuwepo.

Islam is the best way of life.

And currently islam is the leading religion spreading throughout the world

Ukweli utasimama siku zote hata kama bbc cnn na aljazeera wataupiga vita.

sasa kama boko Boko haram Al shabab ni matawi ya CIA nyie waislamu wa humu ndani kutwa mnawatetea??
au nyie ni mpango wa CIA?
 
Last edited by a moderator:
Middle East, kwanini tatizo liwe ni dini? Mbona dini ni ile ile? Au ni ubinafsi na kupenda Madaraka? Pakistan na Afghanstan ni ubinafsi na madaraka.
 
Sasa wewe ukitakaje??

Uliposema nchi za kiislamu ulikua unatarajia reaction ya aina gani??

Yo have killed my dog you better hide your cat.

Ukweli utabaki pale pale kuwa vita nyingi zinazopiganwa katika nchi mbalimbali duniani hata kama nchi haitawaliwi na sharia bado wanaopigana ni waislamu!! Madhehebu ya kiislam yana ugomvi wa asili na vita baina yao haitakoma milele!!
 
Heshima yako mkuu kwa Point ulizompa kijana hapo. Nchi ya kiislam ni ile inayofuata Shaariya.
Kwa hiyo ningeziita nchi zenye Waislam wengi? Ni sawa na kusema USA ni secular state ingawa ukweli ni kwamba kimsingi ni nchi ya Kikristo hadi kwenye katiba yao na Wakristo madhehebu fulani wanaonekana kama second class Christians. Tusitafute terminologies. Mind you I am not condemning Moslems na mimi ni Mwislam
 
Kama mnaweza kutafuta kitabu kinaitwa; "Islam the clock of antichrist."
Nitakuja baadaye kumaliza nachotaka kusema. Dunia ijiandae na mifumoko ya bei sababu ya mafuta yatapanda bei kama nyakati za vita ya iran na iraq.



The king.

Ni Cloak na sio Clock
 
Mkuu kuiita america, uingereza na maswahiba zake nchi za kikristo ni kuukosea ukristo na biblia kiujumla, angalau ungesema vatican ndo nchi ya kikatoliki.

Hizo nchi zingine wanachumia matumbo ya chumi zao kwa kusungizio cha dini, biblia haijaruhusu watu kujitoa mhanga au kumpigania mungu kwa njia ya kuua wengine.
Biblia inakufundisha kujitakasa binafsi kabla hujamhukumu mwenzio.
Hao wamagharibi wakati wote hutumia weakness za kiutawala kujinufaisha, na kiuhalisia kundi linaloongoza kulalama ndilo litakalotumiwa.
 
Ucrain, North Uganda(Joseph konny-anapigania sheria za kikristo), South Sudan(wakristo wenyewe), Congo kinshasa, Rwanda,south korea...na nyengine nyingi hizo nazo ni nchi za kiislam??? jaribu kutafakari.
Ukiondoa Joseph Konny ambaye anapigania sheria za kikristo, nchi zingine zote ulizoziorodhesha zinapigana kutafuta haki! Ni vita baina ya watawaliwa wanaodai haki zao za msingi za kibinadamu na watawala wanaowanyonya na kuwanyanyasa watawaliwa bila kufuata misingi ya demokrasia!

Katika nchi za kiislamu ni madhehebu yanapigana!
 
Khamenei.ir
khamenei_ir 57s
This is not a Shia-Sunni
War; arrogants specially
the U.S. are behind #Iraq 's
sedition. 6/22/14
#NO2ISIS #Yes2Iraq
pic.twitter.com/
YLqMwhqLNo
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom