Serikali ya Tanzania haina dini

Serikali ya Tanzania haina dini

Mida ndo hii. Wahi masjidi ukagonoe, uache tigo yako bong'oo!

Unapata dhambi kumtukana bwana YESU kwakua naye pia alisujudu kutoa heshima kwa MUNGU.Hivyo kwamuachia urithi Mdogowake MUHAMMAD.Nyinyi mmepoteaaaaaaaaaaaaaa.Sikulazimishi ukubali utajiju.
 
Tunapoambiwa kuwa Serikali haina Dini ila Watu wake wana Dini.
Hapo hapo tena tunaambiwa kuwa, Serikali ni watu na Watu ni mimi na wewe.

Sasa kama Serikali ni watu then hapo hapo tunaambiwa kuwa Serikali haina Dini, basi tukubariane kuwa hata watu wake pia hawana Dini.!!

Mana watu si ndio Serikali,? Na Serikali si ni watu.?

Kwa mana hiyo sote tulio ktk nchi hii ni wa Pagani, hata kama utakuwa unakwenda Kanisani na Msikitini. Wewe bado ni Mpagani tu.
 
Jeshi la wokovu na tawi lake liko pale kurasini na wanatumia kodi za wananchi wote wakiwemo wa dini nyinginezo kulinufaisha kanisa na mfumo kristo
 
Jeshi la wokovu na tawi lake liko pale kurasini na wanatumia kodi za wananchi wote wakiwemo wa dini nyinginezo kulinufaisha kanisa na mfumo kristo


Kodi zetu zinatumiwa na kanisa! kupitia budget ya Wizara ipi
 
Kudili Na Waislamu Afadhali Na Ng'ombe,hawa Watu Ni Totally Zero Brain,halafu Idadi Kubwa Ya Wanachawa Wa CCM Ni Waislamu,tazama Tanga,Tabora,Lindi,Pwani,Dar na Morogoro Mikoa Hiyo Yote Ni Waislamu Wengi Ndo CCM Ina Nguvu,kisa? Wananchi Wa Mikoa Hiyo Ni Nonesense Kabisa.
 
Kuna mijitu humu inaboa sana kwa kuleta ushabiki wa kidini
 
Muhammad mdogo wa Yesu? we ndio mwehu kweli, Myahudi na Mwarabu wapi na wapi?
 
Hii serikali ina mambo ya kujichanganya kweli kwa upande mmoja kuna watu wanatumia nguvu na hila nyingi kuhakikisha mahakama ya kadhi inaendeshwa na serikali isiyo na dini.

Upande wa pili serikali hiyohiyo ilitumia nguvu kubwa na hila kuwazuia waislamu waliotaka sensa iwajue wananchi kwa dini zao.

Sasa tunajiuliza nini kinafichwa? Huku tunanataku kule hatutaki kwa nini?
 
SERIKALI YA TANZANIA HAINA DINI
Katika katiba ya Tanzania inasema Tanzania haina dini ila watu wake wana dini nafikiri kipengele hiki kina utata;
1. Hakuna uhuru wa kuchinja
2. Kwanini kuna ubalozi wa VATICAN wakati Tanzania haina dini
3.kwanini kuna MOU kwa kundi moja na kuacha kundi jingine
4. kwanini takwimu za kisensa zisitambue wananchi wake pamoja na dini zao
Tunaomba katiba ibadilishwe kwani ina mapungufu
Hapo Tatizo ni VATICAN na sio Tanzania, Balozi wa Vatican sio wa Nchi. Je hao mabalozi wa Bia nao wana nchi?
 
Waislamu wataliingiza hili taifa letu kwenye ugaidi
 
Back
Top Bottom