Ushauri mzuri ungekuwa kuongeza taasisi nyingine na wakala ili ziingie katika utaratibu wa utumishi kupunguza magumashi ya ajira katika taasisi husika..., kila mtu anajua ni kiasi gani inakuwa ngumu kuajiriwa maeneo kama TPA etc....
Hongera utumishi kwa kuwapa watoto wa masikini nafasi....
majebere;9132738]Sasa hiyo hela ya kubadili mboga ndio mnaona utajiri? Aisee bongo bado sana.
Hivi utajiri unaanzia kiasi gani ? Ukitutajia 'net worth' itakayofanya mtu aitwe tajiri utakuwa umesaidia wengi ili wajue watu sahihi wa kuwaita matajiri
hapo kwenye magari nane siyo kweli nimeona msafara citizen tv. Baadhi wanalaumu kuwa na msafara mkubwa wa magari 40 toka Nairobi mpaka Namanga na walitumia lane zote mbili za barabara,maana yake barabara ilifungwa for almost 5 hours kupisha msafara.
Katika pita pita za kuangalia simu gani yenye OS ya android itakayofaa nimeona kuna simu inaitwa samsung galaxy s4 clone. Kutokana na bei yake kuwa ya kuridhisha around 400k nilivutiwa kuimiliki. Kabla sijainunua nimekuja jukwaani ili kupata maarifa yatakayonisaidia kufanya uamuzi sahihi zaidi...
kwa swala la Shibuda, Chadema wanatumia busara ya hali ya juu kuepusha nchi kuingia gharama za uchaguzi mdogo. Wangekuwa wanakurupuka wangemuondolea uanachama,automatically na ubunge angevuliwa, madhara yake ni gharama kubwa za uchaguzi mdogo ambazo zingeweza kuepukika kwa kumpuuza katika yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.