Katika pita pita za kuangalia simu gani yenye OS ya android itakayofaa nimeona kuna simu inaitwa samsung galaxy s4 clone. Kutokana na bei yake kuwa ya kuridhisha around 400k nilivutiwa kuimiliki. Kabla sijainunua nimekuja jukwaani ili kupata maarifa yatakayonisaidia kufanya uamuzi sahihi zaidi ,nikizingatia uwezo,camera na vyote ambavyo ni muhimu katika simu ya kisasa.