Tofauti kati ya Lembeli na Mwakyembe

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
16,248
2,000
Nampongeza sana mwenyekiti wa kamati ndogo iliyofuatilia na kuchunguza uhalifu uliotendwa wa Operesheni Tokomeza, Mh James Lembeli (Mb), kwa kuanika uozo wote uliotendwa na wahalifu hawa kwa kisingizio cha kusaka majangili.

Hapa ndipo tofauti kati ya Lembeli na Mwakyembe inapoonekana wazi. Mtakumbuka kwamba wakati wa sakata la Richmond kamati ya Mwakyembe ilificha baadi ya ukweli ( kama ilivyodokezwa na Mwakyembe mwenyewe) ili kuisitiri serikali ya CCM. Kama 'kamati tokomeza' ingeongozwa na watu wanafiki kama Mwakyembe sidhani kama ingepata sifa na mafanikio kama hii ya Lembeli.

Tatizo la CCM ni kwamba ina wanafiki na wachumia tumbo wengi kuliko watetezi wa wanyonge. Wapo tayari kutetea chama na matumbo yao kuliko kutetea masilahi ya wananchi.
 
deepsea

JF-Expert Member
Aug 10, 2013
3,290
2,000
mwakinazi hakutimiza wajibu wake ni mnafiki kama ilivyo asilimia kubwa ya wanasiasa
 
wijei

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
476
250
Hata kamati ya Lembeli imezunguka zunguka kwenye ripoti yake.mfano wanaposema baadhi ya vyama vya siasa,wanasiasa au wabunge ilibidi hivyo vyama,wanasiasa au wabunge watajwe kabisa ili tuwajue.probably hao wabunge,chama cha siasa na wanasiasa watakuwa associated na CCM ndio maana walifichaficha.
 
Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,360
2,000
Huyu aliyeendaa concept paper na kuiita operation hiyo TOKOMEZA hajatokomea kweli?
 
Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,329
1,500
Hapo kwenye kuficha vyama vya siasa akili yangu inanipa vyama viwili chama cha mizigo na mke mdogo wake. maana ingekuwa ni vyama tofauti na hivyo ingekuwa mambo hadharani
 
wauwau

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
705
170
Wijei unaposema wanasiasa watakuwa associated na CCM una maana gani? Huku unaandika vyma lakini wansiasa in ccm, ngoja tuseme hata hivyo vyama ni ccm, na wabunge je? Maana tunajua kuwa wabunge wote ni marafiki wala wanapokuwa wote huwezi amini kama hawa ndio wanapigan madongo majukwaani na mjengoni. Kalaghabao na ubozo wako
 
Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,329
1,500
yale yale tu, mbona ripoti haikutaja wahusika ambao ni wabunge .

siku zote mwanao ni bora zaidi ya mtoto wa jirani hata kama ni mwizi. Hawawezi kutaja maana ni washirika wa serikali na ndiyo watoa asilimia kumi kwenye kila dili.
 
Mlengo wa Kati

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
2,731
0
Nampongeza sana mwenyekiti wa kamati ndogo iliyofuatilia na kuchunguza uhalifu uliotendwa wa Operesheni Tokomeza, Mh James Lembeli (Mb), kwa kuanika uozo wote uliotendwa na wahalifu hawa kwa kisingizio cha kusaka majangili.

Hapa ndipo tofauti kati ya Lembeli na Mwakyembe inapoonekana wazi. Mtakumbuka kwamba wakati wa sakata la Richmond kamati ya Mwakyembe ilificha baadi ya ukweli ( kama ilivyodokezwa na Mwakyembe mwenyewe) ili kuisitiri serikali ya CCM. Kama 'kamati tokomeza' ingeongozwa na watu wanafiki kama Mwakyembe sidhani kama ingepata sifa na mafanikio kama hii ya Lembeli.

Tatizo la CCM ni kwamba ina wanafiki na wachumia tumbo wengi kuliko watetezi wa wanyonge. Wapo tayari kutetea chama na matumbo yao kuliko kutetea masilahi ya wananchi.
Lembili kada wa CCM
 
Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,413
2,000
Lembeli kapiga tena msumari kwa Mathayo aliyetaka kujikosha kwa debate ili asamehewe ..baada ya kumtandika za combination ikabidi tena amsindikize na moja ya mwisho mpaka chini
 
usiniguse

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,532
2,000
kwani kwenye tume ya mwakwembe huyu si ndo alikuwa mwakamu wa tume ,hapa bado ninawasiwasi sana na hii tume kama haina msukumo wa kisiasa kama ile ya kinafiki ya mwakyembe.
Nampongeza sana mwenyekiti wa kamati ndogo iliyofuatilia na kuchunguza uhalifu uliotendwa wa Operesheni Tokomeza, Mh James Lembeli (Mb), kwa kuanika uozo wote uliotendwa na wahalifu hawa kwa kisingizio cha kusaka majangili.

Hapa ndipo tofauti kati ya Lembeli na Mwakyembe inapoonekana wazi. Mtakumbuka kwamba wakati wa sakata la Richmond kamati ya Mwakyembe ilificha baadi ya ukweli ( kama ilivyodokezwa na Mwakyembe mwenyewe) ili kuisitiri serikali ya CCM. Kama 'kamati tokomeza' ingeongozwa na watu wanafiki kama Mwakyembe sidhani kama ingepata sifa na mafanikio kama hii ya Lembeli.

Tatizo la CCM ni kwamba ina wanafiki na wachumia tumbo wengi kuliko watetezi wa wanyonge. Wapo tayari kutetea chama na matumbo yao kuliko kutetea masilahi ya wananchi.
 
kill

JF-Expert Member
May 21, 2013
1,830
0
asante sana kwa kuandika ukweli wabunge wa ccm wanafiki wakubwa jana walikuwa wanapiga pinda anatakiwa kuwajibika Machali akapeleka fomu za kusaini kutokuwa na imani na waziri mkuu wabunge wa chama chama chakavu wakagoma kusaini ..bora mchawi kuliko mnafiki
 
tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
16,248
2,000
bwana pinda naye anatakiwa kuachia ngazi. kumbe jana mchana aliwaita wabunge wa ccm na kuwasihi waache kuwashinikiza mawaziri kujiudhuru lakini wakamgomea. huu mzigo (pinda) unatakiwa ku-step down immediately.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom