Recent content by kimwerijcb

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hili daraja lina umuhimu gani kwa wananchi?

    Nikitizama hivi naona ............,.jiwe
  2. K

    JamiiForums Tanzania TCRA mnaona huu upuuzi wa startimes

    Naona jana walijua watu wengi wangeangalia sababu ya mzee mengi, hivo walikuwa wanatumia fursa hiyo
  3. K

    JamiiForums Tanzania TCRA mnaona huu upuuzi wa startimes

    Utabonyeza marangapi, wengine limonti zilisha kufa, mnafanya vibaya bana,
  4. K

    JamiiForums Tanzania TCRA mnaona huu upuuzi wa startimes

    Hakuna siku niliwachukia hawa wavimba macho kama jana,yani kutwa nzima ni sms tu,alafu inakaa mda mrefu wakitoa wana tuma nyengine, ilibidi nizine tu,
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kweli Ya kale ni dhahabu

    Nimecheka sana, mana umepita mulele mkuu
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa jambo Hili watu wenye Jinsia ya Kiume Arusha Mmenishtua sana

    Alinacha hoi pale alivo toa simu sijui alikua anataka kupiga zimamoto
  7. K

    JamiiForums Tanzania MEI MOSI 2019: Rais Magufuli asisitiza kuwa ataongeza mishahara akikaribia kuondoka madarakani. Awataka wafanyakazi kuwa na subira

    Dah watu wamenuna, simchezo,mana hats kuitikia ilikuwa shida hakuna wakushangilia hata
  8. K

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Mkono Wa Chuma

    Humu usijihangaishe kusoma story ukijua itaisha,
  9. K

    JamiiForums Tanzania Swali kwa madereva wa magari na pikipiki

    Haya mambo yapo ila wengi wetu hatujabatika kuyaonamiaka ya 2000, katika kijiji cha ngombezi ,korogwe huko kulikuwa mambo kama haya ,kila alfajiri kuna mwanamke huonekana maeneo ya msikiti ,ilikuwa yatisha sana kipindi hicho sijui kwa sasa kwa waliopo
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nani mkali wako wa siku zote

    Hapo kuna mmoja nimcheshi sana kwenye kazi zake ,huyu mwingine yuko siliasi mno kwenye kazi zake, kwangu wote nachaguaga nikivurugwa nantafuta chen,nipunguze wenge, ila nikitulia namtafuta lee, hawa jamaa noma wote
  11. K

    JamiiForums Tanzania Al Bashir alalamikia hali mbaya katika gereza alilowekwa

    Hawa ndo walewale dhaifu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Online Comedy bora kabisa kwa sasa hapa Bongo

    Achana nae utamtoa meno,
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

    Hii sehem ni shida yani kuna vijiji pia vinanchangany'a majina mbaya
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mzazi wa kiume anaweza kumuua mwanae kisa kuogopa kupinduliwa madaraka?

    Into the badlands ni shida mkuu
Back
Top Bottom