Kwani hao ni akina nani hapa Ushirombo...!!??[emoji53][emoji53]
Fux hizi mkuu, jet lee sio mtu wa vituko anajitiaga usiriaz fulan hv, kitu jackie ndio kituko.Huwa nashindwa kuwatofautisha hawa na vituko vyao
Jack...but Jet ni kisanga; mtu anampiga mpaka masta wake ktk Taichi nikasema basi huyu kashindikana hahahaa