Ni kweli mkuu na ndo maana ikandikwa "imekua inspired by true events"ila mwisho wa siku wamejitahid sana kina "Viola Davis".Story n inasisimua iwe ni challenge kwa wandishi wetu na actors wetu wa bongo na wadau kwa ujumla.
Tayari "just Jen"Sema Mimi nimeilewa hii series u comedy wake pengine kwasababu labda sijamsoma she-hulk wa kwenye comics,tatizo ka series km dk 20 tu hapo ndo wameboronga,angalia hii episode kama kuna next episodes zimebaki basi things zinaenda kua ugly.
Mkuu haitaji rocket science kujua hili,ajaribu tu kufikiria kwenye ukoo yule mwenye utajili wakutisha na yule wakawaida ni nani mwenye ushawishi?.Sasa sijui mtu anakuaje na uchumi mkubwa afu asiwe na ushawishi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.