Karibu.
Naitwa Musa Buzelengule . Ni Upwork Freelancer . Nina 300+ Earnings kwa Sasa .
Naomba kujua ni changamoto zipi zinafanya watu wasipate kazi ya Kwanza?
Wamrekani na Wachina Tuwe nao makini Sana Maana ni Watawala wetu Tangu 1970s Wametuvumilia Tu Ila Ipo siku Tutaelewa Tu.
Picha
1. Bagamoyo Port 10 B USD Deal
2.USA Kigamboni Mega Deal Military Base.
Tulipigwa.
Wasafi bet, ni Kampuni Iliyoundwa kwa makubaliano(Partnership)baina ya kampuni ya kubeti ya nchini Kenya inayoitwa Odibet,
Mliliki Wa Odibets ni Jimmy Kibaki (Mtoto Wa Raisi Wa Zamani Wa Kenya Mwai Kibaki) Hapa Ndipo Tunapojua Kuwa Kumiliki na Kuendesha Michezo hii Inahitaji Pesa Nyingi Sana ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.