Je, ni Changamoto zipi Unazopitia Katika Freelancing?

KimIlSung

Member
Apr 21, 2020
15
24
Karibu.

Naitwa Musa Buzelengule . Ni Upwork Freelancer . Nina 300+ Earnings kwa Sasa .

Naomba kujua ni changamoto zipi zinafanya watu wasipate kazi ya Kwanza?
 
Ni kazi za category gani exactly ambazo unafanya Upwork. Nimepata changamoto sana kwa miezi miwili sijawahi kupata kazi mimi nafanya web design and development.
 
Ushindani ni mkubwa, muhimu portfolio inayovutia
 
Back
Top Bottom