Recent content by kimeloki

  1. kimeloki

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

    Pamoja na ujinga mwingi wa Bashite na shutuma zake za uhalifu hiyo nafasi akipewa Mawaziri mizigo watanyooka.
  2. kimeloki

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Taarifa kuhusu kutaka kutoroshwa kwa Gekul

    Akamatwe ingawaje silaha nzito polisi hawezi kua nayo mkuu.
  3. kimeloki

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Usajili wa VPN unafanyika ili kuwatambua Watumiaji wa Intaneti

    Kila nkikukumbuka Bw Nape akitembea kujilisalimisha kwa JPM (Jiwe) huku akitokwa na jasho nacheka sana.
  4. kimeloki

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kuchukua namba ya Simu katika Mazingira Magumu

    Mwambie kuna hadi vyumba vizuri tu.
  5. kimeloki

    JamiiForums Tanzania Video: Hayati Magufuli alitupa siri kwanini alipokuwepo hapakuwa na mgao, ni kwanini tunasahau haraka namna hii?

    Magu angeheshimu haki za binadamu na demokrasia asingekuwepo wala kutokea kama yeye.
  6. kimeloki

    JamiiForums Tanzania Nauona muda uliotabiriwa na mwalimu wa Mwitongo unakaribia

    Kumekucha
  7. kimeloki

    JamiiForums Tanzania Viongozi gani hao waliomuona “Dada wa Watu Nyani” na waimbaji wenzake?

    Mnatuona nyani wimbo wangu wa mwaka.
  8. kimeloki

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta mapendekezo ya kuzifanyia Marekebisho ya Sheria zinazohusu Umiliki wa Maliasili

    Pale hakuna Bunge bila wananchi shupavu mithili ya Mwambukusi na wengineo wengi wangepitisha kama kawaida yao.
  9. kimeloki

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye kaliba ya "Kimagufuli" tumpe nchi 2025?

    Kati ya Tundu Lisu na Hussein Mwinyi mmojawapo 2025 anapokea kwa mama yetu mpendwa.
  10. kimeloki

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali kushtakiwa kwa makosa ya UHAINI

    Polisi waache vituko hakuna wahaini TZ
  11. kimeloki

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

    Kuna wakati nliona giza ghafla nikaona mwanga nasikitika giza tena limetanda...................
  12. kimeloki

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu DC wa Bunda anaelewa anachofanya kweli?

    ......I don't need peace.........
  13. kimeloki

    JamiiForums Tanzania Operesheni +255 CHADEMA & Rejesha bandari zetu: Kesho tarehe 2/8/2023 Tundu Lissu ndani ya Chato, Geita...

    Lisu namkubali sana kwa misimamo na uwezo wale mkubwa hata hivyo kuna umuhimu wa kumzuia kutembelea kaburi la JPM maana hashindwi kutandika kaburi viboko yule
  14. kimeloki

    JamiiForums Tanzania Bei ya Cement yapanda

    Huu uhuni una mwisho
  15. kimeloki

    JamiiForums Tanzania Unabii kuhusu Rais mwanamke aliyepo Afrika Mashariki (ulitolewa 2021)

    Unabii siyo jambo la kupuuza
Back
Top Bottom